Jina la mwendazake lilikuja kupitia mfuko wa suruali ya Mzee wa msoga.CCM wana demokrasia pana sana linapokuja swala la uchaguzi wa ngazi zote tofauti na Chadema ambao mgombea wa nafasi ya mwenyekiti ni " yule yule " miaka nenda rudi.
Chadema inafanana sana na TFF ambayo mgombea wake wa kudumu kwa nafasi ya Rais ni Wallace Karia.
Karia ni CCM lakini anaendesha TFF kichadema Chadema.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hiyo ndio demokrasia?