Kamati ya Uchaguzi ya TFF yapitisha Jina la Wallace Karia kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Urais

Jina la mwendazake lilikuja kupitia mfuko wa suruali ya Mzee wa msoga.
Hiyo ndio demokrasia?
 
Hivi hii TFF na wenyewe wana utaratibu wa kuwa na mihula au wako namna gani na kama hawana basi huyu Msomali hatatoka anavyoonekana, atakuwa kama Ndolanga.
Kuna mihula mitatu cosecutively kwa mujibu wa katiba ya tff.
 
Hahahahahaaaa!,mkuu hili jukwaa la michezo wanajipooza baada ya kuzinguana na mama
 
Mi nataka kujua wenyeviti wa ccm huwa wanashindana nani hadi wanakuwa mwenyekiti taifa?
 
Hizo kanuni zilikuwepo au ni mpya?
Hao walioondolewa walikuwa na hivyo vigezo au hawana?
Tukishajua hayo ndio tumhukumu bwana Karia.
 
Ni Vigezo Gani Wamekosa? Wakati Awali walipitishwa na Hyo Kamati Wakiwa wamekidhi Vigezo? Au Hatua Kama Hii Pia Kunakuwa na Vigezo Vingine Vipya Tofauti na Vya Awali?
Walikidhi vigezo vya kuitwa kwenye interview (usaili) baada ya usaili wameonekana hawana vigezo
 
Hizo kanuni zilikuwepo au ni mpya?
Hao walioondolewa walikuwa na hivyo vigezo au hawana?
Tukishajua hayo ndio tumhukumu bwana Karia.
Ni upuuzi tu wenye uzoefu wakakosa endorsement harafu wasio na uzoefu wakapata endorsement, Karia kacheza kama Pele hapo
 
hii ndio TANZANIA....nchi yangu na....NAIPENDA SANA...
 
Jamaa ni dhaifu sana, halafu ni muoga wa challange. Mpuuzi sana kumbe yule dada alikuwa ni kama ni chambo tu, halafu yule dada alikuwa ni mjumbe wa kamati za tff ambazo aliteuliwa na huyo msomali.
Huyu hawezi Tena kuwa Rais wa TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…