Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Wapimaji wa akili wenyewe wamevurugwa na TOZO unadhani itakuwaje.!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wengi madebe kutikaVipimo vyenyewe vipo?
Wapimaji wenyewe wana uadilifu?
Niliwahi kuandika hapa kuwa kabla ya kuwapima wengine, wapimwe akili viongozi wetu na hao kamati kwanza
Baa inaitwaje? LE MAX BARWengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021.
Kwa mujibu wa shuhuda ambae pia ni Rafiki, Kijana aliyepigwa risasi na kufariki anaitwa Gift na alikua amekaa jirani na Alex na alisimama kumtuliza Alex baada ya kuona ameanza kutishia Watu kwa bastola yake, amesema Shuhuda huyu.
“Gift ni Kijana mwenzangu tukifanya kazi Ofisi moja, alikua ana muomba Alex asipige risasi kama vile na kupoteza amani, yani kitendo cha Gift kumsemesha yule Jamaa imekua kama kosa aligeuka akammiminia Gift risasi nyingi kama mbuzi, Gift kuona vile akakimbia lakini akaishiwa nguvu hatua chache tu”
“Tulishindwa kutoa msaada kwa Gift kwa sababu Jamaa mwenye Bastola (Alex) alikua kama amevurugwa Shetani kama amemuingia anageuka anaangalia nani mwingine ampige risasi.
My Take
Nimeambiwa jamaa Alex alipewa kibali cha kutumia bastola miezi kama mitatu iliyopita. Ni dhahiri kwamba kamati haikufanya uchunguzi wa kina kabla ya kutoa kibali. Tukio linaonyesha huyu mtu ana shida kichwani na mwepesi kuvurugwa. Kamati ya Ulinzi iwajibishwe
Lakini Dialo alimuongelea Kayafa Shujaa wako na si huyu Alex wa BastolaNgoja niisikilize tena ile clip ya Mirembe ya Daktari Anthony Diallo!
ndugu umelewa?Baa inaitwaje?
Mwanamke gani walikuwa wanamgombea hapo?
weka picha uzi ukamilike,.
Vipimo vipo bize vinapima mapapai na mbuzi.Nafikiri kuna haja pia ya kuongeza kipengele cha waombaji wa silaha kupimwa afya yao ya akili kabla ya kuruhusiwa kumiliki silaha.
Kipo, sema watu hapo wanatembeza helaUnadhani hicho kipengele hakipo?!
Nasikia watu walishawahi kwenda polisi kumlalamikia huyo marehemu kua ana matumizi mabaya ya silaha ila polisi wakachukulia poa.
Halafu bar yenyewe ile ndio ya kwenda na Bunduki kweli?
Watu kwenye kipengele hicho huwa wanatembeza hela...huo ndy ukweliKwa hili naitetea Kamati ya ulinzi na usalama wilaya na mkoa na hata kwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai maana pistol kibali chake kina process ndefu kuliko silaha za kuwindia. Hakuna anayekwenda mbele ya Kamati akiwa amelewa. Lakini pia si lazima akili iwe tenge tangu utotoni. Binadamu anaweza kugeuka mnyama ghafla tu na ukashangaa mbona mtu huyu mpole siku zote? Sitashangaa kusikia OKW BOBAN SUNZU kakata jirani yake panga kwa sababu isiyo na mashiko. We are animals in nature.
Acha nyegemshindo kushabikia upuuzi. Unajuaje aliunguliwa na biashara. Utaolewa.Haswaa
Wa kulaumiwa ni Kamati ya Maendeleo ya Mtaa kwasababu wanaishi naye na ndiyo wanaotoa taarifa za awali apewe au asipewe...
Kisha ofisi ya Kata na OCD.
Sasa endeleeni kuchagua viongozi punguani wanaoiangalia pesa na siyo dhamana
Hii Nchi, viongozi Mirembe wananchi Mirembe...
Tangazo Tangazo ndugu wananchi mnaombwa kwenda kuchukua mafaili yenu Mirembe kwani pamejaa, mkae nayo nyumbani mtakuwa mkiyabeba pindi mkitaka kwenda hospital.....Kwahiyo mambo yote Mirembeee ikiwemo wewe @Evelyn Salt ni Mirembevtu yaani