Kamati ya Ulinzi na Usalama iliyompa silaha muuaji wa Lemax Bar iwajibike

Nafikiri kuna haja pia ya kuongeza kipengele cha waombaji wa silaha kupimwa afya yao ya akili kabla ya kuruhusiwa kumiliki silaha.
 
Baa inaitwaje? LE MAX BAR
Alex anafanya kazi wapi? MHASIBU CHAM CHA WASANII

Mwanamke gani walikuwa wanamgombea hapo? HILDA,
weka picha uzi ukamilike,.
Kabila lake ':---mchaga wa Rombo
Ukoo wake : Korosso
Nyumbani kwake: Moshi Majengo kwa Mtei
aba yake : James Oraa, zamani alikuwa na Quik telecommuication pale Plaza, alikuwa anapigisha simu ial pia mzee wake alikuwa mangula wa Moshi, mtu wa kisonga front, magumashi mengi, gari za watu, ake za watu;
Familia yake: Ana kaka yake anaitwa Bruno au Jenero, Ana baa pale karibu na kwa alphonce -kiboriloni
Mdogo wake alikuwa wakili, anaitwa angel Korosso amefariki mwaka Jana.
 
Kwa hili naitetea Kamati ya ulinzi na usalama wilaya na mkoa na hata kwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai maana pistol kibali chake kina process ndefu kuliko silaha za kuwindia. Hakuna anayekwenda mbele ya Kamati akiwa amelewa.

Lakini pia si lazima akili iwe tenge tangu utotoni. Binadamu anaweza kugeuka mnyama ghafla tu na ukashangaa mbona mtu huyu mpole siku zote? Sitashangaa kusikia OKW BOBAN SUNZU kakata jirani yake panga kwa sababu isiyo na mashiko. We are animals in nature.
 
Nadhani iwe sheria kwa mtu mwenye silaha binafsi hatakiwi kuingia na silaha yake Eneo la Bar n. K
 
Nasikia watu walishawahi kwenda polisi kumlalamikia huyo marehemu kua ana matumizi mabaya ya silaha ila polisi wakachukulia poa.

Halafu bar yenyewe ile ndio ya kwenda na Bunduki kweli?

Huyu kwenye video ni nani mkuu?? Gift au uyo bazazi muuaji??
 
Watu kwenye kipengele hicho huwa wanatembeza hela...huo ndy ukweli

Ova
 
Wa kulaumiwa ni Kamati ya Maendeleo ya Mtaa kwasababu wanaishi naye na ndiyo wanaotoa taarifa za awali apewe au asipewe...

Kisha ofisi ya Kata na OCD.

Sasa endeleeni kuchagua viongozi punguani wanaoiangalia pesa na siyo dhamana

Acha usanii Brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…