Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la taifa, lengo la kikao lilikua kufanya tasmini ya kilichotokea maana hawakukitarajia kabisa baada ya kupewa briefing ya kilichotokea Rais Samia alitoa pendekezo kuwa yeye yuko tayari kukabidhi mamlaka kwa jeshi la ulinzi la Tanzania.
Katika majadiliano yao inasemekana baadhi ya wakuu wa vyombo vya usalama akiwemo mkuu wa majeshi waliukataa mpango huo na wakamwambia yeye atulie watamlinda, ndio ikatoka amri ya lock down kwa mikoa ya Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Mara. Na katika maelekezo yao walishauriana zianze kutumika risasi za moto rasmi na raia yeyote atakaejichanganya basi apigwe risasi. Rais Samia hakutaka damu ya mtu yeyote imwagike ila alishinikizwa akubali.
Sasa kwenye hili kamati ya ulinzi wa taifa kwa ujumla wake inatakiwa kuwajibika juu ya damu za watanzania zilizomwagika bila hatia yoyote.
Huko vikosini majeshini kuanzia jwtz na police kumegawanyika sasa hivi, kuna wanajeshi na police ambao hawakubaliani na haya mambo yalivyoendeshwa kikatili na wanaowaona viongozi wao kama wasaliti kwa watanzania.