Funguka basi.Upande wa pili ndo kina nani?
Hii ndio kamati ya kushughulikia mazishi ya msanii Mangwair pindi mwili utakapo wasili:-
P Funk
Lady Jaydee
Prof. Jay
Maze B
Mchizi Mix
Jay Moe
Source: Times FM
Akina Mawingu mkuu. Si misiba mingi huwa wanaiendea na ndizi na pilipili mkuu!
Safi sana. Hii kamati kabla ya 2015 watavaa gwanda. Moyoni mwao najua ni Viva Chadema.
ila mbona Millard ayo yuko sauth na anaupdate mainfor jaman...ni mtizamo tu lkn.
Amepelekwa na kampuni yake ili nao waonekane kidogo wameshiriki.
Millard Ayo anarusha kipindi cha amplifaya kutoka Afrika kusini kaenda leo asubuhi
Radio ya wafu umeisahau naona tangu asubuhi wanagonga ngoma zake kwa wingi.
Majambazi ya mziki yanajikosha
Jamaa dizain wamewapiga chini
Njema Skype......,yan hao watu wa mtaa wa pili ni kuwafungia vioo tu.Na ole wao wajaribu, by the way mambo vipi miss strong?