Kamati hiyo imeundwa na inajumuisha Prof.J,TID,Lady Jaydee,P Funk,Inspector Haroun,Adam Juma,Mwana FA,J moo na wengineo. Ila sijawasikia wale wa kule upande wa pili wakitajwa kwenye kamati hiyo wakati misiba kadhaa huwa wanashiriki kikamilifu! My take😀o you think what am thinking!?.Source: Taarifa ya habari ya saa moja.Chanel Ten.