Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Make uliyemuoa alidharauliwa na wengine nawe ukaona umepata kumbe ukadharauliwa pia.Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.