Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Make uliyemuoa alidharauliwa na wengine nawe ukaona umepata kumbe ukadharauliwa pia.Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.
kama kwetu tunavyoyadharau;Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.
alitaka kudhulumiwa haki yake ya kuishiUyu kabendera ana faida gan kwa taifa mbna watu wanamuongelea sana
Huyo.ni mkenya unategemea nini?Mjumbe hauawi jamani ni kupashana habari za majirani zetu wanavyo tuona. Lakini mwandishi anasahau kuwa EAC almost 90% + ya tawala ni za kidictator. Nani amfunge Paka kengere?