Kambaka samaki akidai ana harufu kama sehemu za siri za mwanamke

Kambaka samaki akidai ana harufu kama sehemu za siri za mwanamke

Ila Kwa fikra za kina tusimlaumu sana jamaa,ni kweli aisee samaki hususani sangara huwa ana ka harufu fulani kama ka nyapu ukiwa na genye na ugwadu wa muda mrefu unaweza ukadinda,sema mwamba kaenda extra miles😁
 
Tunapoelekea huku Kumekatazwa!!! huwezi kupiga Namna hiyooo! Mabinti tunawaangalia Kwa jicho la husda tusaidieni
 

View: https://www.facebook.com/watch/?v=4555051198060482
1788179031108.png
 
Mwanaume mmoja ameripotiwa kukamatwa baada ya kutuhumiwa kufanya kitendo cha ukatili wa kingono dhidi ya samaki, huku akidai kuwa alifanya hivyo kwa sababu samaki huyo alikuwa na harufu aliyodai kufanana na ya sehemu za siri za mwanamke.

Taarifa kuhusu tukio hilo zimeenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na kuwaacha watumiaji wengi wakieleza mshangao na kuchukizwa na madai hayo.

Baada ya habari hiyo kusambaa, mijadala imeibuka kwenye mitandao ya kijamii, huku maelfu ya watu wakilaani kitendo hicho na kukielezea kuwa ni cha kushangaza na kisicho cha kawaida.

Hata hivyo, maelezo kuhusu mazingira halisi ya tukio hilo na hatua za kisheria zinazomkabili mtuhumiwa bado yanahitaji kuthibitishwa na mamlaka husika.

CC: SMART CHANNELView attachment 3660538
...Smart Mbona hujakuwa Smart, na unaishía kuwa Chombo cha habari Toilet Paper !
Hukuiona Umuhimu wakútuambia Wanalamii hii imetokwa Wapi na Lini ?? 😏😏
 
Back
Top Bottom