Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi huo haufanyiki kabisa kwa kisingizio cha maandalizi ya udanyanyifu, rushwa kutoka kambi ya mbowe na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa upande wao kuzuiwa kuingia ukumbini baada ya kutokidhi vigezo vya uthibitisho wa ujumbe wao.
Infact,
Lema na baadhi ya wafuasi wa Lisu mathalani pumbalu, mwaipaya na heche wanaandaa wajumbe feki kutoka maeneo mbalimbali nchini na kujaribu kuwapa uhalali kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ili hatimae wakifika ukumbini wazuiwe kuingia ili iwe kisingizio cha wao kushindwa na kuvuruga uchaguzi huo.
Mbaya zaidi,
inadaiwa wanajiandaa kuingia ukumbini na silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyembe ili kulazimisha mgombea wao ashinde uchaguzi licha ya kutokuungwa mkono na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema Taifa.
Mpaka sasa,
kuna dalili na ishara zote za vurugu na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi wa chadema Taifa wa Jan 21.2025.
Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua tahadhari zote na kuchukua hatua muhimu stahiki za kudhibiti hali hiyo kabla ya uharbifu na hali hiyo ya uvunjifu wa amani inayopangwa haijawa mbaya zaidi
Ndugu mdau,
Una maoni gani kwenye hili?🐒
Mungu Ibariki Tanzania