Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

Huyu na Mwashambwa ni wataalamu wa kutunga uongo bila hoja za maana!
gentleman,
acha upotoshaji, uzushi na tuhuma za kupika kama kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,
au wewe mie mercenary wake?πŸ’
 
yaani ccm ndio wamekuwa wapiga kampeni wa mbowe.

Haya ni maajabu aisee, kinachowafanya ccm wamwogope Lissu ni nini?

Hebu waacheni chadema wamalizane wenyewe kama nyie mlivyomalizana jana.
 
Kwa siku unafungua thread lukuki kumchafua mtu mmoja. Mpaka unachefua. Hata watu wasiompenda Lissu wanakuona kinyaaa, maana umezidisha chuki
Hao watu wenye silaha, mumewaandaa kabla ili muwasingizie. Umejuaje wana silaha nyembe na matakataka yako
 
Kwa siku unafungua thread lukuki kumchafua mtu mmoja. Mpaka unachefua. Hata watu wasiompenda Lissu wanakuona kinyaaa, maana umezidisha chuki
Gentleman,
kueleza ukweli hapachoshi kwasabb ukweli unaweka watu huru,

sasa wewe ukikasirika, ukipata mihemko, ukitapika au kuharisha kwasabb ya kuambiwa ukweli,

hilo ni suala kako binafsi, linanihusu nini mimi gentleman?

mimi mimi siko hapa kumchukia au kumpenda mtu bali kueleza ukweli πŸ’
 
Enyi vijana je tunaridhika na hii hali ya maisha kwa sasa? Kama ni ndio basi twende na Mwamba la sivyo basi kuna haja ya kuwa na kiongozi mbadala. Kusoma tumesoma lakini wengi wetu hatujitambui tunadhani malaika watashuka kutupigania haki zetu. Mungu kasema tafuta na pigania haki yako Nami nitakuvusha! Vipawa na vipaji tunavyo lakini tutavitumia katika mazingigira haya?
 
Umekazania neno kibaraka, lakini huna mfano wowote wa yeye kuwa kibaraka.

Sina mihemko. Nakuona mwehu tu. Siasa naijua kuliko wewe, ila napenda haki na ukweli. Mimi nimekata kadi ya CCM kabla hujazaliwa.
 
Umekazania neno kibaraka, lakini huna mfano wowote wa yeye kuwa kibaraka.
Kibaraka haina mbadala hiyo gentleman.

kwa faida ya wadau tu,
Lengo la kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa mwaka moja tu ni kuhakikisha vijana wa kiume wa chadema wameo au wameolewa ubeligiji ndoa za jinsia moja anazodai ni haki. Eti hiyo ndio njia rahisi ya vijana wa chadema kupata kazi nje ya nchi

Ni aibu na fedheha kwa Taifa πŸ’
 
Lema na nyembe zao watazuiliwa nje ya ukumbi πŸ’
Ukitaka uheshimike eleza vitu vilivyonyoka. Ukitunga matakataka kama yale mliyomtungia Mbowe eti amepanga kukata miti nchi nzima utafikiri ana mradi wa kuuza kuni. Ili afanye ugaidi.
 
Sina mihemko. Nakuona mwehu tu. Siasa naijua kuliko wewe, ila napenda haki na ukweli. Mimi nimekata kadi ya CCM kabla hujazaliwa.
sasa kama siasa unaijua makasiriko ya nini gentleman 🀣

sina haja kujua wewe ni wa chama gani, ningefurahi mbobevu wa masula ya siasa kutoa au kujibu hoja kwa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja yangu, kuliko kimbwelambwela na kujifua kifupi bila point πŸ’
 
Usingempiga risasi angefikaje Ubelgiji, au huna habari alienda huko akiwa kitandani toka Nairobi. Wewe mbona ni kibaraka au mtetezi wa waovu.
 
Nijibu nini. Tutakuuliza lete ushahidi wa hizo silaha, nyembe ulizowaona nazo.
 
Ukitaka uheshimike eleza vitu vilivyonyoka. Ukitunga matakataka kama yale mliyomtungia Mbowe eti amepanga kukata miti nchi nzima utafikiri ana mradi wa kuuza kuni. Ili afanye ugaidi.
kazi na jukumu langu ni kueleza ukweli gentleman,
siko hapa kutafuta heshima wala huruma ya wadau kama anavyofanyaga Lisu ili achangiwe michango mbalimbali ya kujikimu kimaisha.

Lema anamdanganya Lisu,
huku akianda fujo na vurumai siku ya kesho kwenye uchaguzi πŸ’
 
Mwenye point nani. Umetoa tuhuma za kuhatarisha usalama wa nchi kisiasa na huna ushahidi kuwa umewaona na silaha. Vinginevyo umepewa pesa uwanunue wahuni uwapeleke wafanye vurugu. Mwehu wewe.
 
Nijibu nini. Tutakuuliza lete ushahidi wa hizo silaha, nyembe ulizowaona nazo.
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi alidai chadema kuna rushwa, alileta ushahidi au ni kubweka bweka tu mtaani na kupiga mdomo?

ushahidi wa nini kwanza kwenye mambo bayana kama hili la lema kuandaa genge la fujo kwenye uchaguzi wa kesho?πŸ’
 
Nonsense!
 
Mwenye point nani. Umetoa tuhuma za kuhatarisha usalama wa nchi kisiasa na huna ushahidi kuwa umewaona na silaha. Vinginevyo umepewa pesa uwanunue wahuni uwapeleke wafanye vurugu. Mwehu wewe.

wiki nzima lema amefanya press conference ambazo zimegoma kuwin support ya wajumbe wa mkutano mkuu kumchagua kibaraka.

uamuzi wao wa mwisho baada ya kugundua hilo,
wameamua kupanga vurugu na fujo ili uchaguzi uharibike kwa visingizio vya udanyanyifu na rushwa πŸ’
 
Inakuhusu nini. Wewe ni mwana ccm. Wakifanya fujo viachie vyombo vya dola. Mimi mwana ccm mambo ya Chadema yananihusu nini. Shida ni pale unatunga mambo ya hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…