Watalianzishaje wakati wako kwenye uchaguzi?View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpers mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
Slaa ni CCM na Mbowe ni padikizi la CCM sasa hapa ni vita ya ndani kwa ndani Lissu hawezi kuingilia kati
Kesi zote za Uchochezi ni jinai..Vijana msiwe Wapumbavu
KESI ya Dr Slaa ni jinai, sasa unalianzishaje? 🐼
Wazo zuri sana ma-keyboard warriors ndio utawafahamu udhaifu wao!View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
CCM wote wamageuka watetezi wa Mbowe. Hii ni sababu tosha ya kuonyesha kuwa Mbowe ni kibaraka.View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
Hamna kwamba waondoe nguvu huko wapeleke kwengine? Kujipatia point ni kwenye sera na aina ya mgombeaIwaongezee sasa points za ushindi dhidi ya Mbowe
Lisu ana uagressive gani wa kiuongozi kwa mfano my friends ladies and gentlemen?View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
Vijana wa CCM akili hawana Ndio mana wanatumika vyema na Watawala!Vijana msiwe Wapumbavu
KESI ya Dr Slaa ni jinai, sasa unalianzishaje? 🐼
MWAMBUKUSI ALISEMA HIVYO HIVYO, HIVI SASA WANAMCHEKA KWA PEMBENIWatalianzishaje wakati wako kwenye uchaguzi?
Mwabukusi si hao, yeye ana yake wale wana yao. Kuwa mpole, subiri uchaguzi uisheMWAMBUKUSI ALISEMA HIVYO HIVYO, HIVI SASA WANAMCHEKA KWA PEMBENI
Wafanye maandamano, au wakakweke kambi Segerea wakiwa na hashatg zao #FreeDrSlaaKesi zote za Uchochezi ni jinai..
Hakuna kitu wanaweza fanya.
Wakimminya vizuri atawataja hao watu waliotoa rushwa, clubhouse imemchafua sana Mh Mbowe. Nafikiri Dr Slaa anapaswa kuwa mfano ikiwezekana aletwe na Maria Sarungi wamuweke ndani nae. Dr Slaa amekiri amepewa ushahidi na watu wa usalama sasa ni wakati sahihi atoe ushahidiWazo zuri sana ma-keyboard warriors ndio utawafahamu udhaifu wao!