Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Kwani Slaa siyo CCM?
Kivipi watu wa Chadema wamtetee
Kivipi watu wa Chadema wamtetee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutesa kwa zamu. Mbowe akikaa ndani miezi minne, na yeye akae kae kidogo kupata uzoefu wa maharage bila mafuta na kulala kwa filimbi.View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIANZISHENI...