Yaani hii Mivitu eti Mifumo ya Ulinzi Mimi Siamini kabisaMfumo wa anga ulikuwa unakula daku?
Wamefanya nini Kujibu?Naona wamejibu
Kaivuruga sana Hii duniaNaona Kibabu Utawala wake Hajaupatia Raha kabisa
Marekani Anavurugwa kila Upande Matukio kila Kukicha
Sasa Ashike lipi
Taiwani,Ukrein,Irani,Kiduku,Uganda na Ushoga,Mara Mabenki kwake
Kwakeli Tumemchoka
Kuna watu wanakwenda kuachia ngazi
Kwa sababu gani?Maza fanta siwapendi US
Hii habar SI ya Jana Bali Toka juz na Marekani alijibu kwa kushambulia baadhi ya targets ambazo anahisi zimekusika ktk KIFO Cha muhandisi wao.Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo.
Dunia Inako Elekea Nipatamu sana
The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully operational” when a suspected Iranian drone hit the installation, killing a U.S. contractor and injuring six other Americans, two U.S. officials said on Friday. - NYT
View attachment 2564562
Ni vikundi vyake na Jeshi la Syria wameanza kujibu, sio yeye mazimaSASAHIVI MAREKANI KILA AKISHAMBULIWA, LAWAMA ANABEBA MUIRANI TU. KUNA UTHIBITISHO GANI KAMA ALISHAMBULIWA NA IRANI