Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana usiku ulikua mkubwa, ilikua piga nikupige,
Nafkri wamepewa go ahead kutoka kwa mrusi kuanza kushambulia vikosi vya marekani na wameapa kuendelea na mashambulizi
Kambi 4 za marekani zilipigwa na kuharibiwa huku jamaa wakijibu kwa mashambulizi ya ndege
Hata mm sijapendaSema sijapenda kabisa hili tukio
Sijapenda kabisa
Haiwezekani na kwanii
Wamekufa wachache et mmoja
Hapo nilitamani kusikia us solder 500 died and 2000 injured
Sasa kamoja kwa 5
Iran tusikubali turudie
Mwenyewe Nilitamani kusikia Jeshi la Wapuuzi Kama 600 wamefyekwaSema sijapenda kabisa hili tukio
Sijapenda kabisa
Haiwezekani na kwanii
Wamekufa wachache et mmoja
Hapo nilitamani kusikia us solder 500 died and 2000 injured
Sasa kamoja kwa 5
Iran tusikubali turudie
Wanajitetea tu ni kwamba haukuwa na uwezo wa ku detect kilichotumwaMfumo wa anga ulikuwa unakula daku?
Yaani Niajabu Ukute Mgogoro wowote Dunia Huyu AsiwepoKila kwenye mgogoro basi marekani nae yupo,,, lakini cha ajabu bado kuna mijitu inamshabikia
Russia wanaume buanaKwanza Wiki ilio pita Marekani Alilalamikia Urusi Kurusha Ndege kwenye Anga Eneo Zilipo kambi zake Syria,
Anasema Urusi imekuwa ikirusha ndege zake za kivita Mara 25 kwa siku eneo hilo
Na Mrusi akasema Angalile ni Mali ya Syria hivyo Marekani Hana haki nalo na Ataendelea Kuruka
Ngoja leo wanarudia ten labda idadi itapandaHata mm sijapenda
Unauaje kamtu kamoja upuuzi mtupu [emoji35][emoji34][emoji35]
.Kuna watu wanakwenda kuachia ngazi
Hiv inaweza kuwa eh? Kwamba mrus kumwambia oya piga tu sasa hivJana usiku ulikua mkubwa, ilikua piga nikupige,
Nafkri wamepewa go ahead kutoka kwa mrusi kuanza kushambulia vikosi vya marekani na wameapa kuendelea na mashambulizi
Kambi 4 za marekani zilipigwa na kuharibiwa huku jamaa wakijibu kwa mashambulizi ya ndege
Afadhari waongezeke kima hawaReuters, citing Syrian sources: Death toll in US strikes on pro-Iran installations in Syria rises to 19 fighters
Hueleweki uko kama wale jamaa wa upinde.Reuters, citing Syrian sources: Death toll in US strikes on pro-Iran installations in Syria rises to 19 fighters
Tunatishana tu Marekani nae hana ulinzi ulio imara, watu wakiamua kitu kinaweza kikafika pentagon bila bugudha.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app