Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Afadhari waongezeke kima hawa
Umesoma vizuri ukaelewa! Au ulikimbia umande?![emoji855]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhari waongezeke kima hawa
Waliokua wanambeza Iran kujeni[emoji16]
Du kumbe Marekani hajafunga mifumo ya anga kule Uarabuni? Kwann anajiamini Sana kukaa bila mifumo ya Ulinzi ktk Ardhi ya wenyewe.Kwanza Wiki ilio pita Marekani Alilalamikia Urusi Kurusha Ndege kwenye Anga Eneo Zilipo kambi zake Syria,
Anasema Urusi imekuwa ikirusha ndege zake za kivita Mara 25 kwa siku eneo hilo
Na Mrusi akasema Angalile ni Mali ya Syria hivyo Marekani Hana haki nalo na Ataendelea Kuruka
Ballistic zitakuja tu israel siku mkijichanganya kushambulia iranHabari za Hivi punde
Israeli air defense commander: Iran can fire dozens of ballistic missiles at Israel within a few minutes.
Kabisa Na kinacho Mbembe Anajua Kuanzisha Migogoro nje ya NchinyakeTunatishana tu Marekani nae hana ulinzi ulio imara, watu wakiamua kitu kinaweza kikafika pentagon bila bugudha.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Marekani amefanya kosa la kiufundi sana kumsaidia Ukraine. Ni bora angeyamaliza kwa mazungumzo na Urusi ili Urusi aachane na vita ya Ukraine. Kwa sasa Mrusi ana uhuru wa kumsaidia hasimu yeyote wa Marekani.Jana usiku ulikua mkubwa, ilikua piga nikupige,
Nafkri wamepewa go ahead kutoka kwa mrusi kuanza kushambulia vikosi vya marekani na wameapa kuendelea na mashambulizi
Kambi 4 za marekani zilipigwa na kuharibiwa huku jamaa wakijibu kwa mashambulizi ya ndege
Kwasababu kila anayeipenda Marekani huishia kuwa shoga au msagajiKwa nini waislam wanawachukia sana Taifa kubwa Dunia hata hawa wa Bara Giza ambao wameachwa ambao hizi dini zililetwa na Meli