Kambi za magaidi wa Hezbollah Lebanon hakukaliki, waanza kuficha makombora yao, Israel yasema kipigo kiko palepale

Iran aingie mmarekan akae kimya chief. We cha muhim tuombe vita viishe tumechoka kuona watoto wakiteseka. Rocket lililopiga watoto uwanjan ni sababu ilitengenezwa chief. Sio bahat mbaya ile.
 
Ulichokiandika na kilichopo kwenye lugha ya malkia ni vitu tofauti.
 
Ni hujui kiingereza jamaa ama vipi!!??
Ripoti inasema "Hizbollah imeanza kusogeza makombora yake makubwa ili kuyatumia pale Israel itapotaka kujibu shambulio la Gollan heights".
Inamaana hezbollah wanajiandaa kwa silaha kali zaidi.
Na huko chini wamesema hawana nia na vita kubwa ila kama ikitokea basi Hizbollah itatumia nguvu zake ipasavyo kupigana hiyo vita.
Hivyo Israel nayo ijiandae na ijiangalie.
Maana Hizbollah started to move some of its" smart precision -guided missiles".
Nadhani mnajua madhara yake jinsi yalivyo offensive kama yakitumika.
Taarifa umeleta kiuongo na kishabiki sana.
 
Kumbuka israel pia atasogeza makombora yake ya kimkakati delilah, jericho 1 mpaka 3,Extra, popeye, Gabriel
 
Iran aingie mmarekan akae kimya chief. We cha muhim tuombe vita viishe tumechoka kuona watoto wakiteseka. Rocket lililopiga watoto uwanjan ni sababu ilitengenezwa chief. Sio bahat mbaya ile.
Wala hakuna chasababu
Tunaomba vita kote ziishe watu waishi kwa amani
Ila rocket lilitokana na kufeli kuintarcept kimbora ama drone ilotokea lebanon
Kama sababu ya israhell kuingia vitani na hizbullah hajaipata sidhanii kama ataipata tena
Hilo tukio hapo chini limetokea jioni hii zayuni kauliwa
Israhell sio kama hatamani na hawezi kuingia vitani na hizbullah anatamani na anaweza akaingia nae vitani ila sasa anajua kama kupigana na hizbullah haitakua kama kupigana na hamas
Yaani akipigana na hizbullah namna atakayopiga nayeye atapigwa kama anavyopiga

🇱🇧🇮🇱⚡️- Israeli media are confirming the death of an unidentified resident of Hagoshrim due to shrapnel from a Hezbollah projectile.
 
Kumbuka israel pia atasogeza makombora yake ya kimkakati delilah, jericho 1 mpaka 3,Extra, popeye, Gabriel
Hata asogeze na nyuklia kabisa lhaitazuia kupondwa pondwa
Silaha pekee ambayo itakayoifanya israhell kushinda nikutumia nyuklia kama anti yake alivyofanya kule japan laa sivyo hatoboi
 
Kumbuka israel pia atasogeza makombora yake ya kimkakati delilah, jericho 1 mpaka 3,Extra, popeye, Gabriel
Hilo halipingiki,japo Israel inajulikana kuwa na strongest airforce,na nguvu yao kuu ya kijeshi ipo jeshi la anga.
 
🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏
 
Taifa teule piga magaidi hao
 
Bado hezbollah maana nae anawashwa kila kukicha anampapasa simba wa yuda mkia
Usishabikie hiyo vita maana nchi za kiarabu zitaingilia pia ili kupunguza makali ya Israel. Hawatakubali vita ienee gulf region.

Jana Turkey imesema wazi itatuma majeshi Gaza, ngoja vita ianze, surprises hazitahesabika. Itakuwa vita kubwa na pande zote mbili watu wengi watauawa. Haitakuwa kama Gaza.

Kuna mwanahabari mzungu aliripoti kuona ndege zilizobeba makombora zikishuka Beirut toka Iran.
Hii vita ni ya hatari sana kwa Israel na wao wanajua. Iran si waarabu ni watu hatari sana kwa silaha na vita.
Usishabikie sana Mkuu.
 
Hizo hesabu zako za kishumundu wenzio hawana mkuu. Sio unaona alichofanya Beirut jion hii? Jamaa hawaogopi vita kama unavyofikiria
 
Hizo hesabu zako za kishumundu wenzio hawana mkuu. Sio unaona alichofanya Beirut jion hii? Jamaa hawaogopi vita kama unavyofikiria
Hawaogopi vita
Ngojea uone jino kwa jino na wao lazima watapigwa wanapigwa tokea oktoba na hizbullah na bado watapigwa kwa huo ujinga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…