begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
MUNGU ni bariki Mimi Mungu bariki kizazi changu Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran aingie mmarekan akae kimya chief. We cha muhim tuombe vita viishe tumechoka kuona watoto wakiteseka. Rocket lililopiga watoto uwanjan ni sababu ilitengenezwa chief. Sio bahat mbaya ile.Hiyo si vita ya Hezbollah na Israel, IDF wakianza vita itakuwa ni vita kamili kati ya Israel na Iran, sio kitu cha kushabikia maana hata Israel hakutakalika.
Hezbollah wanarusha makombora na rockets ambazo Iron Dome haizioni kama zile zimeua watoto wasio na hatia.
Hiyo haitakuwa vita ya upande mmoja kama Gaza huko, vita ikiianza patachimbika na Iran itashusha vyuma havijawahi kuonekana.
Ulichokiandika na kilichopo kwenye lugha ya malkia ni vitu tofauti.Wadau hamjamboni nyote?
Baada ya kuona kuwa Israel haitanii sasa uongozi wa magaidi hatari wa Hezbollah umeanza kuhamisha silaha zake za hatari ikiwemo makombora huku ikijiandaa kukabiliana vikali na IDF.
Serikali ya Israel imeapa kuwa iwe isiwe lazima waifundishe adabu magaidi hayo
Taarifa kamili hapo chini
Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki IDF
Hezbollah has begun moving around its precision-guided missiles, as the region braced for a fierce Israeli response to a rocket attack by the terror group over the weekend that killed 12 children.
An official with a Lebanese group told The Associated Press on Monday that Hezbollah’s stance has not changed, and that the Iran-backed organization does not want a full-blown war with Israel, but that if war breaks out it will fight without limits.
The official, who spoke on condition of anonymity to discuss sensitive activities, said Hezbollah since Sunday has started moving some of its “smart precision-guided missiles” to use if needed.
Ni hujui kiingereza jamaa ama vipi!!??Wadau hamjamboni nyote?

Allah hajaisaidia gaza imekuwa majivuYupo Allah wao atawezesha kufikisha makombora Israel
Kile kipondo cha myahudi ulifikiri ni mchezo kilikuwa cha kimkakati bandari yote imegeuzwa majivu na akiba ya mafuta imeishaHivi Houthi wamepotelea wapi jamani?
Bado hezbollah maana nae anawashwa kila kukicha anampapasa simba wa yuda mkiaHivi Houthi wamepotelea wapi jamani?
Kumbuka israel pia atasogeza makombora yake ya kimkakati delilah, jericho 1 mpaka 3,Extra, popeye, GabrielNi hujui kiingereza jamaa ama vipi!!??
Ripoti inasema "Hizbollah imeanza kusogeza makombora yake makubwa ili kuyatumia pale Israel itapotaka kujibu shambulio la Gollan heights".
Inamaana hezbollah wanajiandaa kwa silaha kali zaidi.
Na huko chini wamesema hawana nia na vita kubwa ila kama ikitokea basi Hizbollah itatumia nguvu zake ipasavyo kupigana hiyo vita.
Hivyo Israel nayo ijiandae na ijiangalie.
Maana Hizbollah started to move some of its" smart precision -guided missiles".
Nadhani mnajua madhara yake jinsi yalivyo offensive kama yakitumika.
Taarifa umeleta kiuongo na kishabiki sana.
Kapokee tena barakaChachi ndio chimbo lako la kuwinda washua?
Wala hakuna chasababuIran aingie mmarekan akae kimya chief. We cha muhim tuombe vita viishe tumechoka kuona watoto wakiteseka. Rocket lililopiga watoto uwanjan ni sababu ilitengenezwa chief. Sio bahat mbaya ile.
Hata asogeze na nyuklia kabisa lhaitazuia kupondwa pondwaKumbuka israel pia atasogeza makombora yake ya kimkakati delilah, jericho 1 mpaka 3,Extra, popeye, Gabriel
Hilo halipingiki,japo Israel inajulikana kuwa na strongest airforce,na nguvu yao kuu ya kijeshi ipo jeshi la anga.Kumbuka israel pia atasogeza makombora yake ya kimkakati delilah, jericho 1 mpaka 3,Extra, popeye, Gabriel
Houthi bado wapo na bado wanashikilia bahari nyekundu meli zisipite kwenda Israel.Hivi Houthi wamepotelea wapi jamani?
🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏Hiyo si vita ya Hezbollah na Israel, IDF wakianza vita itakuwa ni vita kamili kati ya Israel na Iran, sio kitu cha kushabikia maana hata Israel hakutakalika.
Hezbollah wanarusha makombora na rockets ambazo Iron Dome haizioni kama zile zimeua watoto wasio na hatia.
Hiyo haitakuwa vita ya upande mmoja kama Gaza huko, vita ikiianza patachimbika na Iran itashusha vyuma havijawahi kuonekana.
Wanasema kobasi humbana aliyelivaa.Wavaa kobasi wa humu wanasemaje?
USSR
Taifa teule piga magaidi haoWadau hamjamboni nyote?
Baada ya kuona kuwa Israel haitanii sasa uongozi wa magaidi hatari wa Hezbollah umeanza kuhamisha silaha zake za hatari ikiwemo makombora huku ikijiandaa kukabiliana vikali na IDF.
Serikali ya Israel imeapa kuwa iwe isiwe lazima waifundishe adabu magaidi hayo
Taarifa kamili hapo chini
Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki IDF
Hezbollah has begun moving around its precision-guided missiles, as the region braced for a fierce Israeli response to a rocket attack by the terror group over the weekend that killed 12 children.
An official with a Lebanese group told The Associated Press on Monday that Hezbollah’s stance has not changed, and that the Iran-backed organization does not want a full-blown war with Israel, but that if war breaks out it will fight without limits.
The official, who spoke on condition of anonymity to discuss sensitive activities, said Hezbollah since Sunday has started moving some of its “smart precision-guided missiles” to use if needed.
Usishabikie hiyo vita maana nchi za kiarabu zitaingilia pia ili kupunguza makali ya Israel. Hawatakubali vita ienee gulf region.Bado hezbollah maana nae anawashwa kila kukicha anampapasa simba wa yuda mkia
Hizo hesabu zako za kishumundu wenzio hawana mkuu. Sio unaona alichofanya Beirut jion hii? Jamaa hawaogopi vita kama unavyofikiriaWala hakuna chasababu
Tunaomba vita kote ziishe watu waishi kwa amani
Ila rocket lilitokana na kufeli kuintarcept kimbora ama drone ilotokea lebanon
Kama sababu ya israhell kuingia vitani na hizbullah hajaipata sidhanii kama ataipata tena
Hilo tukio hapo chini limetokea jioni hii zayuni kauliwa
Israhell sio kama hatamani na hawezi kuingia vitani na hizbullah anatamani na anaweza akaingia nae vitani ila sasa anajua kama kupigana na hizbullah haitakua kama kupigana na hamas
Yaani akipigana na hizbullah namna atakayopiga nayeye atapigwa kama anavyopiga
🇱🇧🇮🇱⚡️- Israeli media are confirming the death of an unidentified resident of Hagoshrim due to shrapnel from a Hezbollah projectile.
Wakati wewe mwenyewe ni gay tayariKapokee tena baraka
Sina muna wakwenda kuwinda malesbian nama gay
Hawaogopi vitaHizo hesabu zako za kishumundu wenzio hawana mkuu. Sio unaona alichofanya Beirut jion hii? Jamaa hawaogopi vita kama unavyofikiria