Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kulinda umoja na amani kwa kuliibia Taifa? Kweli mpo vizuri. Kamera 40 tu kwa Milioni 514?Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Hadi wewe kibaraka wa CCM umeona wizi wa watu wenu.KAMERA 40,TU KWA GHARAMA YA MILIONI 514, A GOOD USES OF OUR TAXES!, YUPO MTU HAPO KARIAKOO MPENI KAZI HIYO ATAZIFUNGA KWA MILIONI 70ML TU,.......
nadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,Kulinda umoja na amani kwa kuliibia Taifa? Kweli mpo vizuri. Kamera 40 tu kwa Milioni 514?
Kweli CCM mpo vizuri kuliibia Taifa.
Sawa pigeni tu pesa za walipakodi wa nchi hii.nadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,
kwasababu usalama wa Taifa na wananchi wake ni muhimu sana na gharama yake haipimwi kwa fedha
ni muhimu ikafahamika kwamba kwa nguvu na gharama yoyote ile usalama wa waTanzania utazingatiwa na serikali sikivu ya CCM gentleman
Kikosi Cha wahuni waliohalalishwa kulaTunaposema ni lazima Serikali ya CCM iondolewe madarakani kwa njia zozote zile zinazowezekana tunamaanisha.
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo CCM iondolewe na wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240879View attachment 3240880
Kikosi Cha wahuni kilichohalalishwa kujibinafsisha uchumi wa nchi hii.Tunaposema ni lazima Serikali ya CCM iondolewe madarakani kwa njia zozote zile zinazowezekana tunamaanisha.
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo CCM iondolewe na wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240879View attachment 3240880
pesa haina maana wala thamani yoyote kwenye kulinda uhai na maisha ya watu hususani kwenye maene ya makazi na biashara za wananchi gentleman,Sawa pigeni tu pesa za walipakodi wa nchi hii.
Muda utaongea!
Kwenye kusign wako seriousss kweri kweri hapo ๐Sawa pigeni tu pesa za walipakodi wa nchi hii.
Muda utaongea!
Kamera 40 kwa milioni 514?๐ kikubwa tuombe zifungweee
Isije ikawa yale ya s.lgumi ๐
Ova
๐ฟ๐ฟ๐ฟ nchi yangu TanzaniaTunaposema ni lazima Serikali ya CCM iondolewe madarakani kwa njia zozote zile zinazowezekana tunamaanisha.
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo CCM iondolewe na wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 tu Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240879View attachment 3240880
Tuichambue M514 alafu tujue zinafungwa kamera gani, watuonyeshe quotation ya hizo bidhaa. Yan kakubaliUmoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Hii awamu ya kuongeza sifuri mkuu watu wanajichoteaKamera 40 kwa milioni 514?
Hiyo kazi inaweza fanywa kwa milioni 60 tu. Hapo inamaanisha zaidi ya Milioni 400 za walipakodi zinaibwa.
Gharama za kufunga na kusimamia ni vitu viwili tofauti!Ni jambo la uzuri kuweka hapa mchanganuo wote na proposal ilopelekea huyo mzabuni kushinda zabuni.
Pia hata tukifahamu gharama ya kamera moja.
Nani atasimamia hizo CCTV masaa 24?
Ujuzi wao kusimamia CCTV na kadhalika.
Mkuu hyo milion 60 n parefu sanaKamera 40 kwa milioni 514?
Hiyo kazi inaweza fanywa kwa milioni 60 tu. Hapo inamaanisha zaidi ya Milioni 400 za walipakodi zinaibwa.
Yan ni mtu mjinga na mpumbavu ndio atakubaliana na hiloGharama za kufunga na kusimamia ni vitu viwili tofauti!
Huwezi kufunga Camera 40 tu kwa milioni 514. Huo ni wizi na dharau kubwa kwa walipa kodi wa Taifa hili.