Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa. Naamanisha hiyo ni maximum cost. Tena hapo wameongeza sana gharama.Mkuu hyo milion 60 n parefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa. Naamanisha hiyo ni maximum cost. Tena hapo wameongeza sana gharama.Mkuu hyo milion 60 n parefu sana
Mambo mengine wanazidisha bana, yaani hatari sana hapo kariakoo wapo vijana hatari sana kwa teknolojia ya kamera, tena wangeweza kufunga wireless camera zenye kujichaji kwa juaHadi wewe kibaraka wa CCM umeona wizi wa watu wenu.
Ndo mjue CCM hamfai na mnaliibia hili Taifa vibaya sana!
kwa jnsi mfumo wa upigaji ulivyo, yawezekana kuwa kila kitu kimekuwa "included".Gharama za kufunga na kusimamia ni vitu viwili tofauti!
Huwezi kufunga Camera 40 tu kwa milioni 514. Huo ni wizi na dharau kubwa kwa walipa kodi wa Taifa hili.
Kwl coz mwaka 2020 tulifunga camera pale mapnga bangamoyo campuni ya maji nachakula cha kuku hili water 💦 camera zaid ya 70 ikufka hata milion 50Kweli kabisa. Naamanisha hiyo ni maximum cost. Tena hapo wameongeza sana gharama.
China Town Ubungo pamefungwa Camera 500 kwa kuanzia 😀😀😀Tunaposema ni lazima Serikali ya CCM iondolewe madarakani kwa njia zozote zile zinazowezekana tunamaanisha.
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo CCM iondolewe na wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 tu Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240879View attachment 3240880
Tazama mkao unaashiria wizi mtupuKwenye kusign wako seriousss kweri kweri hapo 😄
Ova
Nimesema mara nyingi kuwa nchi yetu imekumbwa na mfumo wa Kleptokrasia.Kweli kabisa. Naamanisha hiyo ni maximum cost. Tena hapo wameongeza sana gharama.
Ndo mtuelewe tunaposema No Reform No Election.Mambo mengine wanazidisha bana, yaani hatari sana hapo kariakoo wapo vijana hatari sana kwa teknolojia ya kamera, tena wangeweza kufunga wireless camera zenye kujichaji kwa jua
😄 ndomana nasema wengine hyo mln 500 na usheh tushaikubali...Tazama mkao unaashiri wizi mtupu
Sasa mbona, huyo ndiyo alikuwa zaidi yao?R.i.P John 😥
sidhani kama kupoteza uhai na maisha hata ya mtu moja tukwasababu za kiusalama kudorora, inaweza kulinganishwa na milioni 514 au hata billion gentleman.Tuichambue M514 alafu tujue zinafungwa kamera gani, watuonyeshe quotation ya hizo bidhaa. Yan kakubali
kabisa kamera million Mia tano?.

Ok, umoja amani na utulivu huku wapigaji wakijinafasi.sidhani kama kupoteza uhai na maisha hata ya mtu moja tukwasababu za kiusalama kudorora, inaweza kulinganishwa na milioni 514 au hata billion gentleman.
I think ilisha tangazwa na viongozi wetu kitaifa kwamba,
there will be no discussions katika suala la usalama wa watu, makazi na biashara zao.
umoja, amani na utulivu wa waTanzania popote walipo utalindwa kwa nguvu na gharama zote bila mbambamba za kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa![]()
Kikubwa zifungwe tu wasingie mitinisidhani kama kupoteza uhai na maisha hata ya mtu moja tukwasababu za kiusalama kudorora, inaweza kulinganishwa na milioni 514 au hata billion gentleman.
I think ilisha tangazwa na viongozi wetu kitaifa kwamba,
there will be no discussions katika suala la usalama wa watu, makazi na biashara zao.
umoja, amani na utulivu wa waTanzania popote walipo utalindwa kwa nguvu na gharama zote bila mbambamba za kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa![]()
ramli za kishirikina na imani potofu za mtu moja moja, haziwezi kuzuia ulinzi na usalama wa waTanzania usiimarishwe na kua wa kisasa zaidiOk, umoja amani na utulivu huku wapigaji wakijinafasi.
Ipo siku hakna maref yaso na ncha.

Kamera moja yauzwaje?Hizo pesa ni ndogo sana. Kwa Camera arobaini?
Hivi mnataka waweke camera za aina gani hapo Kariakoo? CutePanda? Ring doorbell camera?
=============
Hivi bakresa ametumia kiasi gani cha pesa kufunga cctv camera azam tv? Acheni utani.
Mzifunge tu na zote zikamilike tuHizo pesa ni ndogo sana. Kwa Camera arobaini?
Hivi mnataka waweke camera za aina gani hapo Kariakoo? CutePanda? Ring doorbell camera?
=============
Hivi bakresa ametumia kiasi gani cha pesa kufunga cctv camera azam tv? Acheni utani.