Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

Kama HK Vision set ya camera nane ni laki 8 sidhani kama Camera 40 zinafika hata million 50 za kitanzania. Kweli serikali yetu kama kichwa cha mwendawazimu. Kila mtu anajinyolea tu.
 
Kama HK Vision set ya camera nane ni laki 8 sidhani kama Camera 40 zinafika hata million 50 za kitanzania. Kweli serikali yetu kama kichwa cha mwendawazimu. Kila mtu anajinyolea tu.
Wamesema camera zitakuwa ngapi labda vipi kuhusu kijumba Cha kuchunguza matukio na vifaa vyake zikoje vipi kuhusu mafunzo kuendesha mradi
 
Waliompa dili siyo wajinga!
% yake ni 51.4m/-!
Siyo pafupi!
Awamu ya mama ni deals, deals, deals!
Akiondoka watu wamefura hela!
Na kawaida ya pesa ikifura na yale ma -Cardiovascular disease huwa hayachezi mbali na na-Cancerous nayo huwa yanapiga jaramba sio mchezo mchezo. !

Duh πŸ™„! Pale unapotaka sasa kufaidi maisha hao waheshimiwa wanakuwa tayari wamesha piga hodi mu Nyumba πŸ˜³πŸ™„ !
Inaanza kuwa patashika nguo kuchanika !
Tujitahidini bandugu kutenda haki tu kwa sana maana anayejua khatima yako ni Mungu pekee ! Au the Universe au Karma au Call it what you like !

We are just simple creatures na tutabaki Hivyo tupende tusipende 😳
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ™‹β€β™‚οΈβœ…πŸ«‘
 
Mkuu kwa mchanganuo na ufafanuzi wa aina hii unaondoa mashaka na sintofahamu kwa wananchi. Hongera sana Mkuu, umeeleweka!!
Acha kuwa zwazwa hizo bei kazitoa wapi? Muulize hilo swali akikujibu ni tagg
 
Unadhani hatuwajui mnavyocheza na makaratasi?

Nakuuliza swali moja tu!

Nipe tu uthibitisho wa hizo bei ulizoweka hapo!

Nasubiri majibu yako. Usituone tunaosema humu ni mazwazwa!
 
Nadhani tungeona mchanganuo wake kutoka Kwa hao walioingia makubaliano.
 
WIZI MZURI NI USEME TUTAFUNGA KAMERA KARIAKOO YOTE KWA THAMANI YA SHS BILIONI MOJA, USITAJE IDADI YA KAMERA, HUU TUNAUITA UIZI MZURI, LAKINI UNAPOTAJA NA IDADI YA KAMERA HAPO NDIPO UNAKOSEA
ulinzi na usalama wa watu, makazi na biashara zao ni muhimu zaid ya upotoshaji wowote ule unaolinganisha pesa, maisha na uhai wa mwanadamu,

Infact,
camera40 ni chache mno ukilinganisha na baadhi ya makanisa humu nchini yenye yaliyofungwa kamera zaid ya 40 kwa gharama ya zaid ya milioni mia8πŸ’
 
Mkuu kwani Kariakoo ndio Tanzania nzima, na Kamera 40 zitaona mitaa na vichochoro vyote vya Kariakoo???
ni muhimu pawepo pa kuanzia hususani kariakoo kulingana na potentiality ya kwa uchumi wa mtu moja moja na kwa taifa kwa ujumla πŸ’
 
Mkuu ujue kwa fedha ya Bilioni 1, hapa una maanisha Kamera 1 shilingi milioni 25,700,000/=. Duh!!
zipo za hadi 30m gentleman,
yapo makanisa hapo dar yamejengwa kwa 2b, na yamefungwa kamera za usalama za kisasa zenye thamani ya 800m.

usalama wa maisha na uhai wa mwanadamu haulinganishwi na thamani ya kiwango chochote cha fedha gentleman πŸ’
 
Mkuu ni kamera 4,000 au 400 au 40??

Mchanganuo wa kina kwa lugha nyepesi unahitajika kufafanua kwa wananchi kuhusu matumizi ya fedha hii ya milioni 514.

Hii fedha Sio mchezo ati??
kwa mfano,
uhai wako thamani yake inaweza kua kamera ngapi kwa haraka haraka gentleman?πŸ’
 
wanafanisha camera za majumba na hizi zinazofungwa kwenye miji kuna mmoja anasema camera moja china inauzwa laki 8 daah 😁😁😁
 
Fisiem wanavyotafuna pesa za umma utadhani ni mchwa. Ndio maana hawataki kufanyike uchaguzi huru na haki. Uchaguzi ungekuwa ndio mtihani wa taifa basi wangetaka wao ndio wawe watunga mtihani wenyewe, wajifanyie huo huo mtihani wenyewe na wajisahihishie huo huo mtihani wenyewe halafu wajitangazie matokeo ya huo huo mtihani wenyewe. Bata wahed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…