Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwanini umpige?kenge kama hiyo unaipiga kipigo cha mbwa mwizi finally unaitimua
Inauma weeehhh
Hawa viumbe hawaeleweki, wanataka hela, wakati huo huo wanataka muda wote uwe naye, kitu ambacho hakiwezekanimwanamke akiianza kukitembeza nje wala usijiulize toa straight red card tu.
Utaweza kutoa talaka?
For suremwanamke akiianza kukitembeza nje wala usijiulize toa straight red card tu.
Mbaya zaidi mwanamke anamkingia kifua mtu aliyechepuka nayeNdivyo inavyotakiwa
For sureNdivyo inavyotakiwa
Kwa wenzetu huruhusiwi kupiga mwanamkekenge kama hiyo unaipiga kipigo cha mbwa mwizi finally unaitimua
Well saidMsaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
Huo uongo kabisa ww huyoMsaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
Kwenye hayo mambo hakuna cha kujifunza. Yataendelea kuwepo.Jamaa amekaa na mkewe kwa zaidi ya miaka 15, lakini mkewe akawa anachepuka na jamaa mwingine huko nje ambaye ni mkataa ndoa.
Baada ya kufumaniwa, akapewa talaka hapo hapo; hajui anaanzia wapi.
Kupitia video hii, kuna cha kujifunza.
View: https://www.youtube.com/watch?v=XNMzdsyaG38