Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, ingekuwa bongo ingekuwa mizozo 😂Wenzetu wako vizuri, ukiona mpenzi wako ana chenga chenga nyingi, una wakodi wanakufanyia kazi ili uupate ukweli.
Akioa je??Msaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
Yanajiri kwenye ndoa na kwenye mahusiano ya kawaida, hakuna aliyesalimikaMsiwege mnaoa
Beauty has sent a lot of girls to marriage but character is busy returning them to their father's house.Choose a man with a good heart no matter what his financial status is.
Inside the reality of married life you'll see that having a big house, huge savings accounts are only secondary.
You'll prefer someone whom you can talk to about anything, someone who's also a worthy priesthood holder and a good father to you're children, someone who's faithful, someone who you can trust.
There's no price tag to a happy family.
Don't be afraid to marry a work in progress man.
None of us marry perfection; we marry potential.
Inahitaji ujasiri, kufanya maamuzi magumuUkishaamua kwenda nenda na usirudi kujielezea
Kuna wengine wanawafuma 'live' kwenye tendo, lakini wanashindwa kuachana.Isije kufanya kosa la kumpa mwanamke nafasi ya kujitetea pale unapofuma Kwa uthibitisho makosa yake.
Yana mwongozo
Wajinga, wapuuzi, wasojiaminKuna wengine wanawafuma 'live' kwenye tendo, lakini wanashindwa kuachana.
Wakati mwingine ni sawa tu, waulize mashabiki wa MAN UNITED, wanatamani kumrudisha SIR. ALEX FERGUSON 😂 unapoacha una uhakika wa kupata mbadala aliyebora zaidi ya uliyenaye? tuweke jazba kando, hizi mbanga zinahitaji busara na hekima ya hali ya juu sana, la sivyo waweza poteza zaidiKuna wengine wanawafuma 'live' kwenye tendo, lakini wanashindwa kuachana.
Wacha wee!Msaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
😂Wacha wee!
Jogoo huwa anapigana na jogoo, huku mtetea akitazama tuMbona ndio sheria hiyo
Unapigana ya nini wakati ameisha kudharau?
Aisee 😄Jogoo huwa anapigana na jogoo, huku mtetea akitazama tu
Kamuacha huyo aliyemfumania , halafu na yeye anaenda kuoa aliyeachwa Kwa uzinzi, na anamketa hapo na anazaa na mwanaume mwingine akiwa hapo hapo ndani na akiwatesa wanaye.Wakati mwingine ni sawa tu, waulize mashabiki wa MAN UNITED, wanatamani kumrudisha SIR. ALEX FERGUSON 😂 unapoacha una uhakika wa kupata mbadala aliyebora zaidi ya uliyenaye? tuweke jazba kando, hizi mbanga zinahitaji busara na hekima ya hali ya juu sana, la sivyo waweza poteza zaidi