Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ushawahi kuumizwa sweetheart...Inauma weeehhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kuumizwa sweetheart...Inauma weeehhh
Usimbe, usela, ukapela, huwezi changia chochote kinachohusu ndoa au familia, maana utaonekana mhuni tu kama wahuni wengine.Iv maisha bila ya ndoa yanaitwaje??
Ukimuuliza mke sababu ya kuchepuka atasimulia makubwa ya humo ndani, sasa mwanaume Kwa kujilinda aibu bora atoe taraka siajabu hakuwa karibu na mkewe busy ndiyo busy hakumbuki kama mkewe anamuhitajiUmpige kisa katoa k yake itombwe nje?
Huyo unatimua tu.
Kuna wengine wanawafuma 'live' kwenye tendo, lakini wanashindwa kuachana.
Kutoa talaka ni very easy lakini maisha baada ya talaka hujaa kumbukumbu nyingi zinazoumiza sana
Kuna episode flani ya maisha nilipitia, nikakutana na baba mmoja hivi. Nilimuelewa ila nikamtupilia mbali sababu nilimuona ni mtu yuko busy na maisha yake.Binadamu bwana,sasa mtu akichepuka wewe unaumia nini hasa? Halafu unaanzaje kumpenda mtu,huwa najaribu nashindwa! Yani from no where unakutana na mtu anampenda? Labda nimetamani tu
Msaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
Sheria ikifuatwa utakuwa matatizoni. Mwache bila kipigobinafsi kenge kama hiyo naipiga kipigo cha mbwa mwizi hadi ilale ICU ikitoka tu safari
finally naitimua iende kwa baba yake
Haijawahi tokea!Ushawahi kuumizwa sweetheart...
😂😂😍😍Msaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
Jamaa amekaa na mkewe kwa zaidi ya miaka 15, lakini mkewe akawa anachepuka na jamaa mwingine huko nje ambaye ni mkataa ndoa.
Baada ya kufumaniwa, akapewa talaka hapo hapo; hajui anaanzia wapi.
Kupitia video hii, kuna cha kujifunza.
View: https://www.youtube.com/watch?v=XNMzdsyaG38
Acha maisha yaendelee , utakuta huyo mkurugenzi hakuwa karibu na mkewe yupo busy na vimwana huko akizani mkewe hana hisia 😐Kuna Mkurugenzi mkuu wa kampuni moja mashuhuri sana TZ, miaka 10 nyuma alimkuta mkewake na mwanaume mwingine (inasemekana alikuwa fundi wa jiko) alimfurumusha mwanaume mwenzake akampa kipigo mkewe nusura iwe kesi kama ya kanumba, bahati yule mwanamke alipata ufa kwenye fuvu iliyomsababishia kjwa anapoteza kumbukumbu mara kwa mara, kupoteza fahamu, matokeo yake alifukuzwa kazi hadi wa leo ni mama wa nyumbani, mumewe hakujigusa hata matibabu ya mkewe, ndugu wa mke ndo walisaidia wakampeleka India ila bado hakurudi kuwa sawa. Na mwanamke alikuwa wale wanawake vipanga darasani na kwenye maisha. Huyo CEO hadi leo yuko na huyo mkewe sema kitombi mbaya tangu kabla hajamfumania mkewe. Udhaifu wake ni wanawake warembo na wenye mikia, mkewe pia ni mrembo na ana mkia sema dawa za kichwa zimemfanya amenenepeana na utu uzima unamuingia basi ndo kabaki na umbo la kimama ila mkia bado unaonekana.
Moral of the story, tulia na wako.
Tuumizane kidogo akili zitukae sawa...Haijawahi tokea!
Nakaziaaaaaaa😁😁😁Tuumizane kidogo akili zitukae sawa...
Na hadi wa leo na utu uzima wake bado anakitombeza huyo CEO busy na kazi busy na mitkasi za maisha, halafu anambana mkewe mbayaa ni mama wa nyumbani kila kitu kinafanywa na dereva hata qkienda sokoni yuko na dereva na dada wa kazi. Haruhusiwi kutoka nyumbani mwenyewe.Acha maisha yaendelee , utakuta huyo mkurugenzi hakuwa karibu na mkewe yupo busy na vimwana huko akizani mkewe hana hisia 😐
Kitambo sana , vipi hujapenda tena tokea hapo?Kuna episode flani ya maisha nilipitia, nikakutana na baba mmoja hivi. Nilimuelewa ila nikamtupilia mbali sababu nilimuona ni mtu yuko busy na maisha yake.
Kumbe alikuwa ananilia timing, siku ya siku akanitongoza, kumbe na yeye alinikubali. Tukaipa nafasi mioyo yetu itathmini tulichokuwa tunafikiri.... mambo yalijipa tulielewana vizuri mnoo ila alikiwa so resistance sababu hakutaka hisia zimpelekeshe. Kiufupi nafsi ilinikubali kama mwenza wake wa maisha na hakuwa na wanawake wengine ila akawa anajizuia akihofu siku nikichepuka au nikiachana nae asiwe mwendawazimu kwa maumivu ya mapenzi....
Tuliachana sababu ya umbali, nilihama eneo alilokuwa anaishi tukakata mawasiliano, ikaishia hivyo.
Miaka 27 iliyopita...🙂