Kuna Mkurugenzi mkuu wa kampuni moja mashuhuri sana TZ, miaka 10 nyuma alimkuta mkewake na mwanaume mwingine (inasemekana alikuwa fundi wa jiko) alimfurumusha mwanaume mwenzake akampa kipigo mkewe nusura iwe kesi kama ya kanumba, bahati yule mwanamke alipata ufa kwenye fuvu iliyomsababishia kjwa anapoteza kumbukumbu mara kwa mara, kupoteza fahamu, matokeo yake alifukuzwa kazi hadi wa leo ni mama wa nyumbani, mumewe hakujigusa hata matibabu ya mkewe, ndugu wa mke ndo walisaidia wakampeleka India ila bado hakurudi kuwa sawa. Na mwanamke alikuwa wale wanawake vipanga darasani na kwenye maisha. Huyo CEO hadi leo yuko na huyo mkewe sema kitombi mbaya tangu kabla hajamfumania mkewe. Udhaifu wake ni wanawake warembo na wenye mikia, mkewe pia ni mrembo na ana mkia sema dawa za kichwa zimemfanya amenenepeana na utu uzima unamuingia basi ndo kabaki na umbo la kimama ila mkia bado unaonekana.
Moral of the story, tulia na wako.