Kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, hapo hapo ametoa talaka; hakuna kubembelezana

Kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, hapo hapo ametoa talaka; hakuna kubembelezana

Kamuacha huyo aliyemfumania , halafu na yeye anaenda kuoa aliyeachwa Kwa usinzi, na anamketa hapo na anazaa na mwanaume mwingine akiwa hapo hapo ndani na akiwatesa wanaye.

Maisha ya ndoa hayana mfumo maalumu.
Umeona e, ndo maana wadada wengi napenda washauri wakaze tu, bora kuwa njia kuu kuliko kuachika na kwenda kuwa diversion ya mume wa mwanamke mwingine
 
Umeona e, ndo maana wadada wengi napenda washauri wakaze tu, bora kuwa njia kuu kuliko kuachika na kwenda kuwa diversion ya mume wa mwanamke mwingine
Unakomaa humo humo mwenye kufa kwa stress aende tu nikukabana humo humo😅😅😅😅
 
Akioa je??
Haijaandikwa kuwa mwanaume aachwe kisa usaliti, nb mwanaume anaweza akaoa wanawake laki moja ni uwezo wake tu, sie tumeumbwa to faki and find living for our faking consequences.
Wewe umeumbwa uzae na ulee mengine ni mbwembwe zenu

Haijaandikwa na nani???!
 
Kamuacha huyo aliyemfumania , halafu na yeye anaenda kuoa aliyeachwa Kwa uzinzi, na anamketa hapo na anazaa na mwanaume mwingine akiwa hapo hapo ndani na akiwatesa wanaye.

Maisha ya ndoa hayana mfumo maalumu.
Iv maisha bila ya ndoa yanaitwaje??
 
Ni matumizi mabaya ya rasilimali akili na nguvu. Kumpiga mgoni anayezini na mkeo au mpenzi wako ambaye alitoa mwenyewe bila kubakwa na akiwa na akili timamu

Hiyo ni kwa mujibu wa kitabu cha wanaume 5 mstari 6-7 kifungu kidogo cha a hadi f vikisomeka kwa pamoja na kifungu cha k
binafsi kenge kama hiyo naipiga kipigo cha mbwa mwizi hadi ilale ICU ikitoka tu safari

finally naitimua iende kwa baba yak
 
Haijaandikwa na nani???!
Najua unakomaza fuvu Ila huna uwezo wa kummliki mwanaume , lazima umilikiwe tu iyo ndio asili Iko ivyo, mfalme mswati Kila mwaka anavunja bikra mpya, Sasa nionyeshe wapi mwanamke anaoa wanaume.
Yaani unioe uwe unanipangia masharti
 
Jamaa amekaa na mkewe kwa zaidi ya miaka 15, lakini mkewe akawa anachepuka na jamaa mwingine huko nje ambaye ni mkataa ndoa.

Baada ya kufumaniwa, akapewa talaka hapo hapo; hajui anaanzia wapi.

Kupitia video hii, kuna cha kujifunza.


View: https://www.youtube.com/watch?v=XNMzdsyaG38

Kutoa talaka ni very easy lakini maisha baada ya talaka hujaa kumbukumbu nyingi zinazoumiza sana
 
Kutoa talaka ni very easy lakini maisha baada ya talaka hujaa kumbukumbu nyingi zinazoumiza sana
Ni kweli kuna changamoto, ndio maana wanashauri, kama huwezi kumuacha ni bora usimfuatilie ata kama anachepuka.
 
Back
Top Bottom