Kufanya mapenzi na mtu aliye underage kwa mujibu wa sheria za eneo husika hiyo ni statutory rape hata kama tendo lilitokea by mutual consent.
hivi binti wa miaka 13 wa shule ya msingi
'aki cooperate na ku sex na mwalimu'
utasema hakuna 'ubakaji'???
hivi mnajua maana ya 'ubakaji'?????
kwa taarifa yako BAK mvulana wa miaka 14
akimtongoza mama wa miaka 30 na 'ku sex nae'
kwa mujibu wa sheria za uingereza huyo mama anashtakiwa kwa ubakaji......
mnanichosha ambao hamuelewi haya mambo....
Labda niulize hivi:-
1] huyo mme hana nafasi yakusamehewa na mkewe na ndoa ikaendelea?
2]Je huyo mme hana nafasi tena katika jamii?
Kufanya mapenzi na mtu aliye underage kwa mujibu wa sheria za eneo husika hiyo ni statutory rape hata kama tendo lilitokea by mutual consent.
Kaunga, mi nahc umetia chumv hii stor ili kutafuta sympath ya wachangiaji. Kama co ww, bas sista yako kaweka chumv. Hapa hakumfumania mme anambaka hg, bali aliwakuta wakifanya ngono. From there sasa ni ishu tofaut. Na wanaojifanya kumtetea huyo hg wanakosea. pengine hawajakaa na mahausgel wanaotega. Sioni hatia kwa huyo mwanaume.
The logic ni kwamba underage hana uwezo wa kufikiri kwa ukomavu kutoa consent na anaweza kuwa manipulated, kwa hiyo kusema "hata kama tendo lilitokea by mutual consent" ni moot. Underage hawezi kutoa consent. Angeweza kutoa consent asingekuwa underage na kusingekuwa na issue.
Kaunga, mi nahc umetia chumv hii stor ili kutafuta sympath ya wachangiaji. Kama co ww, bas sista yako kaweka chumv. Hapa hakumfumania mme anambaka hg, bali aliwakuta wakifanya ngono. From there sasa ni ishu tofaut. Na wanaojifanya kumtetea huyo hg wanakosea. pengine hawajakaa na mahausgel wanaotega.Sioni hatia kwa huyo mwanaume.
nakuachia wewe aisee
Johnie Cochran wetu hapa lol
naona naanza kukasirika now
na jinsi watu wasivyoelewa....
'majirani wamesikia binti akipiga kelele' but still mtu anakuja kusema eti 'binti ali cooperate'
this is absurd...
nakuachia wewe aisee
Johnie Cochran wetu hapa lol
naona naanza kukasirika now
na jinsi watu wasivyoelewa....
'majirani wamesikia binti akipiga kelele' but still mtu anakuja kusema eti 'binti ali cooperate'
this is absurd...
Bora useme na wewe watu waelewe maana tukiseMa sisi tunaonekana labda kama vile tunampigia mbuzi gitaa na watu hawataki kutuelewa....Kufanya mapenzi na mtu aliye underage kwa mujibu wa sheria za eneo husika hiyo ni statutory rape hata kama tendo lilitokea by mutual consent.
hujui unachoongea, ndoa inavunjwa na kaka au baba???mnaweza niita dikteta
lakini mimi kama ni kaka au baba nimeletewa hii kesi
hiyo ndoa 'naivunja' hata binti akisema amemsamehe mumewe.....
kwa nguvu naivunja hiyo ndoa....
...afadhali kumbe na wewe umeliona hilo....
mume/shemeji anatafutiwa sababu ya kutetewa hapa.
atakuwa hajui huyu ....POST TRAUMATIC RAPE SYNDROME usipime ni balaa mtu anaharibikiwa kabisa kiakili asipopata msaada wa maana'
BAK system yetu saa zingine inaweza kuwa mapungufu such as kutoa identification kama birth certificate lakini still there's a way to prove kwamba huyo binti she's is 16 definitely yeye mwenyewe atakuwa anajua miaka yake na sidhani kama atakuwa anadanganya...Hebu weka ushahidi wa kwamba huyu binti kabakwa na pia uthibitishe kwamba ni under age. Kaunga kashindwa kuthibitisha umri wa huyu binti ambaye inawezekana kabisa akawa na umri ambao ni under age (hivyo kabakwa hata kama aliruhusu kitendo cha kujamiiana) au ni above under age hivyo kwa kuruhusu kitendo cha kujamiiana hakubakwa. Bila kujua umri wa huyu binti si rahisi kabisa kuhitimisha kwamba alibakwa au la.
Aisee! Kumbe na wewe umeliona hilo...
...afadhali kumbe na wewe umeliona hilo....
mume/shemeji anatafutiwa sababu ya kutetewa hapa.
The logic ni kwamba underage hana uwezo wa kufikiri kwa ukomavu kutoa consent na anaweza kuwa manipulated, kwa hiyo kusema "hata kama tendo lilitokea by mutual consent" ni moot. Underage hawezi kutoa consent. Angeweza kutoa consent asingekuwa underage na kusingekuwa na issue ya age.
BAK system yetu saa zingine inaweza kuwa mapungufu such as kutoa identification kama birth certificate lakini still there's a way to prove kwamba huyo binti she's is 16 definitely yeye mwenyewe atakuwa anajua miaka yake na sidhani kama atakuwa anadanganya...