Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kufanya mapenzi na mtu aliye underage kwa mujibu wa sheria za eneo husika hiyo ni statutory rape hata kama tendo lilitokea by mutual consent.
The logic ni kwamba underage hana uwezo wa kufikiri kwa ukomavu kutoa consent na anaweza kuwa manipulated, kwa hiyo kusema "hata kama tendo lilitokea by mutual consent" ni moot. Underage hawezi kutoa consent. Angeweza kutoa consent asingekuwa underage na kusingekuwa na issue ya age.