Mkuu Mbu kuna hii kauli ambayo pia inatoka kwa Mke wa mkosaji, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!" ambayo nayo upande wa defence unaweza kuitumia vizuri sana katika utetezi wa case yao.
nakuachia wewe aisee
Johnie Cochran wetu hapa lol
naona naanza kukasirika now
na jinsi watu wasivyoelewa....
'majirani wamesikia binti akipiga kelele' but still mtu anakuja kusema eti 'binti ali cooperate'
this is absurd...
Ni ubakaji kwa kuwa under 18 yrs anahesabika bd mtoto na hana maamuzi yake mwenyewe.hivi ukikuta mtu mzima anafanya ngono na underage sio ubakaji??????
....kaka, haya mambo hata kwa Dominique Strauss Kahn tuliyasoma bana...
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!
...afadhali kumbe na wewe umeliona hilo....
mume/shemeji anatafutiwa sababu ya kutetewa hapa.
kisheria nadhani wanawaita Minority na wakubwa wanaitwa majority
hata ukiingia mkataba na minority huo mkataba ni Null and void
labda mikataba ya kurithi toka kwa wazazi ndo inahesabiwa lakini nayo wakifika age of majority wana option ya kujitoa
Sheria ni ngumu lakini la huyu binti ni oviaz
Hafai hata kua HG!sasa majibu umeyaona?rejea juu.Kwa sababu anafanya kazi ya u-housegirl au?
Hahahahah lol! Si unakumbuka jinsi DSK alivyotiwa hatiani na kuishia kupoteza kazi yake nzuri kule IMF na pia kupoteza nafasi yake ya kugombea Urais wa France. Kumbe hakuwa na hatia yoyote ile.
Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!
My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the
girl fare and her salary aende kwao.
...lol....pamoja na vidhibiti vilivyopatikana kwenye crime scene incl semen kwenye nguo ya mdada, alishinda kesi!
hizi kesi za ubakaji pesa yako tu ndiyo itakukuokoa au kukuangamiza...
@Mbu
Kwa jinsi nilivyo na Hasira na huyo shemeji yangu, tungekuwa the same town; ningehakikisha anatiwa katika mikono ya sheria! Sina sababu za kumtetea what'so ever!
Mdogo wangu right now ana Hasira pia ya mume wake, sijui kuhusu kesho; mwanzo alikuwa very sympathetic na binti; but now l can sense (hajaniambia) imepungua baada ya kuona binti hataki kufungua kesi. As binadamu ambaye naye ni victim wa infedality ya mumewe; anaanza kupata hisia tofauti za ushiriki wa binti wa kazi; l can understand her coz l have gone thru the same thing.
Anyway nimemshauri awatafute ndugu zake, awashirikishe!
Tatizo la prosecutors katika saga la DSK ni kwamba hawakuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha pasipo wingu la shaka kuwa kulikuwa na forcible sex.
Kwa ujumla hizi kesi za ubakaji ni ngumu sana kuzithibitisha.
reputation ya mwanamke pia ilisaidia na vyombo vya habari
pia
ni kama kesi ya KOBE kidogo...............
...mpaka sasa majibu ya kama alibakwa au la yanapatikana hapa;
...au sikumuelewa Kaunga?
You are right Boss.hivi nyinyi mnajua maana ya kubaka?
sio lazima michubuko
any 'unwanted' sex inaweza kuwa ni kubaka
mmewahi kusikia kuhusu 'date rape'???????/
hata kama alilainika still inaweza kuwa ni ubakaji..
kwani mtoto wa miaka 12 akilaainika sio ubakaji???????
Kwahiyo BAK wewe binti akikudanganya ana umri wa miaka 15 na ukaamini, ukamchukua hivyo hivyo alafu ikaubuka kesi na kwenye process ikagundulika kwamba alikua na 18, utaona maamuzi yako uliyofanya kwa wakati ule yalikua SAWA?Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?