Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Mkuu Mbu kuna hii kauli ambayo pia inatoka kwa Mke wa mkosaji, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!" ambayo nayo upande wa defence unaweza kuitumia vizuri sana katika utetezi wa case yao.

images

....kaka, haya mambo hata kwa Dominique Strauss Kahn tuliyasoma bana...
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nakuachia wewe aisee
Johnie Cochran wetu hapa lol
naona naanza kukasirika now
na jinsi watu wasivyoelewa....
'majirani wamesikia binti akipiga kelele' but still mtu anakuja kusema eti 'binti ali cooperate'
this is absurd...

Wanajidai kubisha kwa sababu wanajua tuko online na may be hatuwezi kuoperate legal action na watu wakashuhudia hapa jamvini!! 16 yrs old sheria inatuambia bado ni unsound mind, haijalishi binti alikubali......what about undue influence?? Position aliyonayo huyo baba ukilinganisha na ya binti.......kunaweza kuwa na mutual consent kweli?? Labda kama hawazungumzii sheria aisee ndo wabaki na misimamo yao ya kucoorporate!!!
 
images

....kaka, haya mambo hata kwa Dominique Strauss Kahn tuliyasoma bana...
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!

Hahahahah lol! Si unakumbuka jinsi DSK alivyotiwa hatiani na kuishia kupoteza kazi yake nzuri kule IMF na pia kupoteza nafasi yake ya kugombea Urais wa France. Kumbe hakuwa na hatia yoyote ile.

hapa kila mtu kawa mwanasheria, mwendesha mashtaka, mtabibu

jamani fani za watu hizi wamekaa na kuvisoma
acha nijiweke pembeni

hata hospitali aliyopelekwa integrity yake ikoje
asije kuwa kapelekwa kiduka cha dawa akapimwe

mambo ya wilayani tunayajua wa wilayani

ila kama wangefuata proper procedure hapo sawa

...afadhali kumbe na wewe umeliona hilo....
mume/shemeji anatafutiwa sababu ya kutetewa hapa.
 
kisheria nadhani wanawaita Minority na wakubwa wanaitwa majority

hata ukiingia mkataba na minority huo mkataba ni Null and void

labda mikataba ya kurithi toka kwa wazazi ndo inahesabiwa lakini nayo wakifika age of majority wana option ya kujitoa

Sheria ni ngumu lakini la huyu binti ni oviaz

Mtu mwenye busara huangalia the totality of circumstances ikija kwenye ishu kama hizi. Huwezi tu uka dismiss kuwa kwa vile teenager A yuko underage kwa mujibu wa sheria basi hana sense ya kutosha kuweza kuridhia tendo la ngono. Mtu atakayebisha hili ni anaendekeza ligi isiyo na kombe.

Na ndiyo maana kwenye nchi zilizopevuka kisheria baadhi ya jurisdictions huzingatia tofauti ya umri pia na zipo kabisa sheria zinazo guide tofauti ya umri (Romeo and Juliet laws).
 
jamani kama watu wa jf ambao by average
unaweza sema wana access na legal advice
but still watu'hawaelewi'
'kubaka' ni nini.....
je ma house girl watalindwa na nani???????

hii inatisha
 
@Mbu
Kwa jinsi nilivyo na Hasira na huyo shemeji yangu, tungekuwa the same town; ningehakikisha anatiwa katika mikono ya sheria! Sina sababu za kumtetea what'so ever!

Mdogo wangu right now ana Hasira pia ya mume wake, sijui kuhusu kesho; mwanzo alikuwa very sympathetic na binti; but now l can sense (hajaniambia) imepungua baada ya kuona binti hataki kufungua kesi. As binadamu ambaye naye ni victim wa infedality ya mumewe; anaanza kupata hisia tofauti za ushiriki wa binti wa kazi; l can understand her coz l have gone thru the same thing.
Anyway nimemshauri awatafute ndugu zake, awashirikishe!
 
Hahahahah lol! Si unakumbuka jinsi DSK alivyotiwa hatiani na kuishia kupoteza kazi yake nzuri kule IMF na pia kupoteza nafasi yake ya kugombea Urais wa France. Kumbe hakuwa na hatia yoyote ile.

...lol....pamoja na vidhibiti vilivyopatikana kwenye crime scene incl semen kwenye nguo ya mdada, alishinda kesi!
hizi kesi za ubakaji pesa yako tu ndiyo itakukuokoa au kukuangamiza...
 
Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!

My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the
girl fare and her salary aende kwao.

Aya sasa
 
...lol....pamoja na vidhibiti vilivyopatikana kwenye crime scene incl semen kwenye nguo ya mdada, alishinda kesi!
hizi kesi za ubakaji pesa yako tu ndiyo itakukuokoa au kukuangamiza...

Tatizo la prosecutors katika saga la DSK ni kwamba hawakuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha pasipo wingu la shaka kuwa kulikuwa na forcible sex.

Kwa ujumla hizi kesi za ubakaji ni ngumu sana kuzithibitisha.
 
@Mbu
Kwa jinsi nilivyo na Hasira na huyo shemeji yangu, tungekuwa the same town; ningehakikisha anatiwa katika mikono ya sheria! Sina sababu za kumtetea what'so ever!

Mdogo wangu right now ana Hasira pia ya mume wake, sijui kuhusu kesho; mwanzo alikuwa very sympathetic na binti; but now l can sense (hajaniambia) imepungua baada ya kuona binti hataki kufungua kesi. As binadamu ambaye naye ni victim wa infedality ya mumewe; anaanza kupata hisia tofauti za ushiriki wa binti wa kazi; l can understand her coz l have gone thru the same thing.
Anyway nimemshauri awatafute ndugu zake, awashirikishe!

...kabinti kameona mbali na akili zake za kumtosha mwenyewe...ana uhakika hatapata haki zake stahili zaidi ya
kudhalilishwa na jamii inayofuata mfumo dume, i.e alijitongozesha, nk...

...mdogo wako afungue kesi ya madai halafu huyo binti awe shahidi upande wa mashtaka, otherwise naye akijiamulia yaishie hivihivi sioni sababu ya kumlaumu 16yrs old wakati mdogo wako aliwafuma 'live' (kama ulivyoandika awali.)
 
". . .watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa." Hosea 4 : 6
mshauri kwanza asiwaze kuachana wala kutengana pili Aokoke na yote yatakuwa ni hadithi za kale !
 
Tatizo la prosecutors katika saga la DSK ni kwamba hawakuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha pasipo wingu la shaka kuwa kulikuwa na forcible sex.

Kwa ujumla hizi kesi za ubakaji ni ngumu sana kuzithibitisha.

reputation ya mwanamke pia ilisaidia na vyombo vya habari
pia
ni kama kesi ya KOBE kidogo...............
 
reputation ya mwanamke pia ilisaidia na vyombo vya habari
pia
ni kama kesi ya KOBE kidogo...............

Oh yeah...ukiwa unawakilishwa na Ben Brafman jihesabu uko kwenye safe hands.

Backgrond ya mdada ndo iliharibu kila kitu.

Still, kwa vile tu charges zilikuwa dropped hiyo haina maana sex au rape haikutokea. Ni kwamba tu waendesha mashitaka hawakuwa na ushahidi wa kutosha kuendelea na kesi na hatimaye kupata conviction.

Na ujue prosecutors nao wanaangalia sifa yao. Ukishindwa shindwa sana kwenye kesi unaonekana si makini katika fani yako.
 
...mpaka sasa majibu ya kama alibakwa au la yanapatikana hapa;

...au sikumuelewa Kaunga?

Umeelewa sana ndugu, najua hata wabishi wameelewa kabisa sanasana watazidi kubisha tu kwa sababu ndio sifa yao!!! Kungekuwa na uwezekano wa kuwepo huyo jirani aliepiga simu, angewasaidia zaidi!!!
 
hivi nyinyi mnajua maana ya kubaka?
sio lazima michubuko
any 'unwanted' sex inaweza kuwa ni kubaka
mmewahi kusikia kuhusu 'date rape'???????/

hata kama alilainika still inaweza kuwa ni ubakaji..
kwani mtoto wa miaka 12 akilaainika sio ubakaji???????
You are right Boss.
Inawezekana kabisa kwamba hakumshika kwa nguvu ila bado akawa amembaka binti wa watu.
Bila kusahau kwamba vipimo vilitakiwa vifanyike muda mfupi baada ya tendo kabla mtu hajajisafisha na sio baada.

Kuhusu swala la binti kutaka aondoke tu hii inatokana na woga.Utakuta huyo jamaa alishamtisha tangu mwanzo na inawezakana kabisa alimpandisha kitandani baada ya kumtisha sana.All in all huyo mwanaume ni mnyama, kama hiyo jana huyo binti wa kazi asingekuwepo na kungekua na ndugu yenu mdogo anaeishi hapo habari ingekua ile ile.Sijui nae mngesema inawezekana hakubakwa.
 
Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?
Kwahiyo BAK wewe binti akikudanganya ana umri wa miaka 15 na ukaamini, ukamchukua hivyo hivyo alafu ikaubuka kesi na kwenye process ikagundulika kwamba alikua na 18, utaona maamuzi yako uliyofanya kwa wakati ule yalikua SAWA?
 
Back
Top Bottom