Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Hahahahaha eti mpango wa kumwiba mume.
Wanaume wa maana wameisha hata watu wakaibe mbakaji?Tena wasiyefahamu hata anapopatikana?
 
Kitu kingine ambacho nahisi ingawa sina uhakika, ni kwamba yawezekana walishazoea huo mchezo sasa walipokutwa ikawa hakuna namna zaidi ya kusema kabakwa na ndipo unaonakua binti hataki kesi yeye anataka mshahara.
 
Hahahahaha eti mpango wa kumwiba mume.
Wanaume wa maana wameisha hata watu wakaibe mbakaji?Tena wasiyefahamu hata anapopatikana?

kaunga, hajasema kama ubakaji ndo tabia yake au waliwahi kukwaruzana ma mkewe so ni mtu anayeweza kijirekebisha na kuwa mume mzuri kuliko hata ambao hawajawahi kubaka.
 
Asiyefanya makosa kwenye ndoa yake na awe wa kwanza kupendekeza ivunjwe.
 
na kwa nini huyo dada yako na shemeji yako wakaaajiri housegirl under age???mnh na wao pia wana matatizo.....

pili,kwa nini hawana mtoto bado wakaajiri housegirl wkt familia haijawa kubwa?uzembe tu....

ungekua nafamilia ungejua kwa nini waliajiri house G sio tatizo lako dada.
 
kaunga, hajasema kama ubakaji ndo tabia yake au waliwahi kukwaruzana ma mkewe so ni mtu anayeweza kijirekebisha na kuwa mume mzuri kuliko hata ambao hawajawahi kubaka.

Kwahiyo watu wanataka wamuibe kwa matumaini kwamba atajirekebisha na kuanza "kuplay mume mwema" ipasavyo?
 
Hahahahaha eti mpango wa kumwiba mume.
Wanaume wa maana wameisha hata watu wakaibe mbakaji?Tena wasiyefahamu hata anapopatikana?

Tena mume mkwaree Lizzy. Km kaweza kudoo na housegirl aliye ndani, huko nje ameshadoo na wangapii.
Hafai si kwa kuibiwa tu bali hata kwa kupewa bure.
Ha ha ahahahahaha.
 
Najua ni jazba tu ukitafakari vizuri utaona ukweli wake mkuu.
 
we Lizzy kaa kimya
hujui hata utamu wa mume mbakaji
acha watu wasuluhishe ndoa

naona unammendea sana

Kwahiyo watu wanataka wamuibe kwa matumaini kwamba atajirekebisha na kuanza "kuplay mume mwema" ipasavyo?
 
patamu hapo yangu macho mwe!.

Eeh.. maana watu wanang,ang,ania hapa eti amwache, wakat wao hawana ndoa, na wenye nazo wengine ndo 2napishana kwenye gest za shot time!
 
Tena mume mkwaree Lizzy. Km kaweza kudoo na housegirl aliye ndani, huko nje ameshadoo na wangapii.
Hafai si kwa kuibiwa tu bali hata kwa kupewa bure.
Ha ha ahahahahaha.

Dunia ina mengi ndugu na hata wewe unamadhaifu yako ambayo ni siri yako no one is perfect,
haijaelezwa kwamba alikua mkware ata kabla ya tukio.
So apewenafasi tena!
Bado naamini kua awezakua mume bora kuliko hata wanaoonekana bora.
 
Eeh.. maana watu wanang,ang,ania hapa eti amwache, wakat wao hawana ndoa, na wenye nazo wengine ndo 2napishana kwenye gest za shot time!

ha ha ha mbavu zangu jamani,
we achatu sikumoja wakutane na wazazi wao huko magest.lol!
 
yeye keshaonyesha msimamo wake ni kundelea na ndoa ya kikatoliki kama ulivosema, kwa nini unataka kumpandikiza misimamo na hasira zako,
au wewe hauna mume nini ndo wataka na wengine wawe kama wewe?
 
Mi nadhani kaunga angemfikishia huu mjadala mdogo wake kama ulivyo ili aupime mwenyewe badala ya yeye kusoma hapa na kuchambua maoni yetu.
 
Najua ni jazba tu ukitafakari vizuri utaona ukweli wake mkuu.

Hapa tu ndio huwa pananikatisha tamaa mie kuendeleza mijadala!! Sasa jazba zinahusiana nini na nilichokiandika my dear, au umejisikia tu kunisemea hayo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…