Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!


Kakondoo potezea!!
Alafu swali lako SIJIBU.
 
Lizzy mzima darling? Nina mashaka na hizi I'd mpya nahisi ni mpango madhubuti.

Nwy zinaleta changamoto
 

...dahhh, hii lugha sio nzuri kwakweli...
 

...dahhh, hii lugha sio nzuri kwakweli...

Mkuu Mbu ukiona lugha za ajabu ajabu kama hizi usisahau jukwaa letu la GUNNERS karibu kule bado tunatolewa jasho jembamba katika dkk ya 72 bado 1-1.
 
Reactions: Mbu
Lizzy mzima darling? Nina mashaka na hizi I'd mpya nahisi ni mpango madhubuti.

Nwy zinaleta changamoto
Mi mzima kabisa mpenzi, vipi wewe?

Hahahaha, hizi nadhani zimeanzishwa kwa malengo kama tuonavyo.Taratiiibu tutafika tu!!
 
Mi mzima kabisa mpenzi, vipi wewe?

Hahahaha, hizi nadhani zimeanzishwa kwa malengo kama tuonavyo.Taratiiibu tutafika tu!!

Inanibidi nicheke tu, maana mtu waalazimishwa kucheza ligi za mchangani ilhal we ushazoea za Stadium! Mbona wana shughuli!!?
 
fair enough n am sorry km nimetumia lugha kali ,i ddnt mean to offend you by any means.
samahani sana bibie!
 
Mbu umeona eh! Masikini!

Mzima lakini?

...am ok dear, pole bana....


Mkuu Mbu ukiona lugha za ajabu ajabu kama hizi usisahau jukwaa letu la GUNNERS karibu kule bado tunatolewa jasho jembamba katika dkk ya 72 bado 1-1.

...lol...kaka, nimejipumzisha kidogo na hizo presha,
January tutakuwa pamoja inshaallah.


4 this i apologies man ,samahani sana it wont happen tena wadau.

...Uungwana ni vitendo, pamoja mkuu.
 
Reactions: BAK
Kila mtu ana maamuzi yake na namna ya kuhandle mambo,binafsi kamwe cwezi kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg never!labda mme wangu anitake kufanya hivyo means awe hanipendi tena!cha kwanza nafukuza hg na nitaongea na huyo bwana anipatie sababu za yy kunidhalilisha hivyo km mie nitakua chanzo kwa namna yoyote nitamsamehe na kuyafanyia kazi mapungufu yangu na kuweka mazingira ya yy kuwa wazi kwangu!km huyo mume hatakua na maelezo ya kutosha nitamshitaki kwa washenga au watu wa karibu km wazazi wake wanisaidi
Google
 
Na kama wewe sio chanzo? N hulka tu ya mumeo akiona wadada wa kazi?

Cantalicia Ubarikiwe
 
Na kama wewe sio chanzo? N hulka tu ya mumeo akiona wadada wa kazi?

Cantalicia Ubarikiwe

Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!ila kiukweli cko tayari kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg nitatumia njia yoyote dunian ila co kumwacha.
 
Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!

Kwani usipokua nae hapo ndani hao huko nje nao atawaogopa?
 
Hapo mwenye makosa dada yako kwanini kaweka mfanya kazi mzuri....kosa lingine kwanini wanawake mmekuwa wa vivu sana siku hizi mama zetu walikuwa hawaweki ma house maid wazuri na wenye umri mdogo -ndo mana waliishii kwa usalama...na kama waliweka ma house maid basi walikuwa wako nao sambamba-yani akipiga chenga anaye....wewe unaenda kazini unawacha mali nyumbani mategemeo yake unadhani yatakuwa vipi...Amkeni wanawake eti mmeendelea wakati ndo kila kukicha mnarudi nyuma kuliko mama zetu...siku njema.
 

Hakika wewe ni mke mwema ulotoka kwa Bwana.Natamani ningepewa moyo kama wako!
 

Daa Fazaa,naomba kukuuliza uzuri wa mwanamke uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…