Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Kwani usipokua nae hapo ndani hao huko nje nao atawaogopa?
Uzuri wa mwanamke uko kwenye macho ya mtu anaye mtazama....Yani wewe umependwa na mwanaume aliye kuona unadhani hakuna wengine watakao kuona waka-kupenda... Afu msidanga'nyike hakuna kitu kinaitwa love au kupenda sehemu moja tu....kama una ndoto hio basi ngojea matanga siku za mbele...xDDaa Fazaa,naomba kukuuliza uzuri wa mwanamke uko wapi?
My dia kwanza mie cjaolewa na cku nikifikia maamuzi hayo nadhan nitakua kwenye kiwango kikubwa cha mapnz kwa huyo mume,km atakua na hulka hiyo na nikashinawa kuitibia bac akafanyie huko nje c ndan kwangu!
I see ni Kali ngoja niendelee kusubili gahawa ya wahanga wa mahanga wa mafuriko hapa wanawake wanao olewa kipindi cha utawala wa jk hawafai.
Uzuri wa mwanamke uko kwenye macho ya mtu anaye mtazama....Yani wewe umependwa na mwanaume aliye kuona unadhani hakuna wengine watakao kuona waka-kupenda... Afu msidanga'nyike hakuna kitu kinaitwa love au kupenda sehemu moja tu....kama una ndoto hio basi ngojea matanga siku za mbele...xD
i lyk the spirit uliyonyesha lady ,fightng evil with positive measures,,,,,,,keep it up utakuwa mke mwema.Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!ila kiukweli cko tayari kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg nitatumia njia yoyote dunian ila co kumwacha.
Kakondoo potezea!!
Alafu swali lako SIJIBU.
Mabishano mengine yanakula muda tu kakondoo.Mama mchungaji , sasa mi nikipotezea nitaelewaje?? Sitaki kubaki na labda mie.....lol!!! Nimekuona tu na wewe swali langu umeamua kulipotezea, sijui nani kakufundisha kiburi......au una ID mpya nini??? Isijekuwa unadesa kwa utambulisho mpya heheh!!!
My dia kwanza mie cjaolewa na cku nikifikia maamuzi hayo nadhan nitakua kwenye kiwango kikubwa cha mapnz kwa huyo mume,km atakua na hulka hiyo na nikashinawa kuitibia bac akafanyie huko nje c ndan kwangu!
Mabishano mengine yanakula muda tu kakondoo.
Hehehehhe lile swali halijakaa kiungwana kabisa.Yani hata kwa ujio mpya SIJIBU, na nnakuchunia mpaka nisahau.
My dia kwanza mie cjaolewa na cku nikifikia maamuzi hayo nadhan nitakua kwenye kiwango kikubwa cha mapnz kwa huyo mume,km atakua na hulka hiyo na nikashinawa kuitibia bac akafanyie huko nje c ndan kwangu!
Asante! Jibu lako linakinzana na post yako! Ni kweli uzuri wa mtu uko kwenye macho ya mtizamaji! So ina maana unaposema kwa nini wanaajiri wafanyakazi wazuri utapata changamto.
Mie kwenye hii game hakuna jipya.
Ushauri wangu ni mdogo sana-mwanamke ambaye ni clever haweki house maid....uliona waipi mwanamke wa kizungu ana weka house maid nyumbani kwake....xDUmeona eeh; mwisho atakuja na ushauri wa wake wasifanye kazi, wakae nyumbani kuwasubiria waume zao ili wasiwacheat!
Daa Fazaa,naomba kukuuliza uzuri wa mwanamke uko wapi?
Wala hujakosea kbs!siwezi kuruhusu upuuzi huo,kitakachotutenganisha ni kifo tu au upendo wake kwangu ukifikia kikomo basi,hayo mengine ni wajibu wangu kukomaa nayo mpaka kieleweke!!!"your man remains to be your man, huwezi mwachia eti kwa sababu your fellow woman amekuzidi kete! Utamwachia for the only reason kuwa hakupendi wala hakujali!!!" L.O.L.........mie simo!!
Haiwezi kuwa tofauti kwani tayari nimeshajipanga hivyo!! na najua ndoa sio mchezo na ndio maana naivutia kasi nikiingia humo najua hakuna kutoka wala kuachana kwa mambo yasiyokua na miguu wala mikono!Come back after 5 yrs in marriage; l am sure the story will be different. It is good to dream though!
Wala hujakosea kbs!siwezi kuruhusu upuuzi huo,kitakachotutenganisha ni kifo tu au upendo wake kwangu ukifikia kikomo basi,hayo mengine ni wajibu wangu kukomaa nayo mpaka kieleweke!!!
Haiwezi kuwa tofauti kwani tayari nimeshajipanga hivyo!! na najua ndoa sio mchezo na ndio maana naivutia kasi nikiingia humo najua hakuna kutoka wala kuachana kwa mambo yasiyokua na miguu wala mikono!
Haya hayajaanza leo hata mama zetu wenye zaidi ya miaka 50 kwenye ndoa wamevumilia mengi ndio maana leo tumlelewa vizuri na tukirudi vijijin tunawakuta!
Ushauri wangu ni mdogo sana-mwanamke ambaye ni clever haweki house maid....uliona waipi mwanamke wa kizungu ana weka house maid nyumbani kwake....xD