Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kwani usipokua nae hapo ndani hao huko nje nao atawaogopa?

My dia kwanza mie cjaolewa na cku nikifikia maamuzi hayo nadhan nitakua kwenye kiwango kikubwa cha mapnz kwa huyo mume,km atakua na hulka hiyo na nikashinawa kuitibia bac akafanyie huko nje c ndan kwangu!
 
Daa Fazaa,naomba kukuuliza uzuri wa mwanamke uko wapi?
Uzuri wa mwanamke uko kwenye macho ya mtu anaye mtazama....Yani wewe umependwa na mwanaume aliye kuona unadhani hakuna wengine watakao kuona waka-kupenda... Afu msidanga'nyike hakuna kitu kinaitwa love au kupenda sehemu moja tu....kama una ndoto hio basi ngojea matanga siku za mbele...xD
 
I see ni Kali ngoja niendelee kusubili gahawa ya wahanga wa mahanga wa mafuriko hapa wanawake wanao olewa kipindi cha utawala wa jk hawafai.
 
Hahahaha,broda acha hizo,mbona ww co mhanga?au ndio unamsaidia yule wifi yetu wa tandale ktk uhanga wa mafuriko!km hatufai hata wanaume wa enzi ya jk wengi hawasomeki!
 
Uzuri wa mwanamke uko kwenye macho ya mtu anaye mtazama....Yani wewe umependwa na mwanaume aliye kuona unadhani hakuna wengine watakao kuona waka-kupenda... Afu msidanga'nyike hakuna kitu kinaitwa love au kupenda sehemu moja tu....kama una ndoto hio basi ngojea matanga siku za mbele...xD

Asante! Jibu lako linakinzana na post yako! Ni kweli uzuri wa mtu uko kwenye macho ya mtizamaji! So ina maana unaposema kwa nini wanaajiri wafanyakazi wazuri utapata changamto.

Mie kwenye hii game hakuna jipya.
 
Km ni hulka yake itabidi nitafute wazazi wake au watu wazima wanisaidie otherwise ctaleta hg tena naleta house boy au tukae wenyewe bac km tatizo litakosa dawa!ila kiukweli cko tayari kumwacha mme wangu kwa ajili ya hg nitatumia njia yoyote dunian ila co kumwacha.
i lyk the spirit uliyonyesha lady ,fightng evil with positive measures,,,,,,,keep it up utakuwa mke mwema.
 
Kakondoo potezea!!
Alafu swali lako SIJIBU.

Mama mchungaji , sasa mi nikipotezea nitaelewaje?? Sitaki kubaki na labda mie.....lol!!! Nimekuona tu na wewe swali langu umeamua kulipotezea, sijui nani kakufundisha kiburi......au una ID mpya nini??? Isijekuwa unadesa kwa utambulisho mpya heheh!!!
 
Mabishano mengine yanakula muda tu kakondoo.

Hehehehhe lile swali halijakaa kiungwana kabisa.Yani hata kwa ujio mpya SIJIBU, na nnakuchunia mpaka nisahau.
 
My dia kwanza mie cjaolewa na cku nikifikia maamuzi hayo nadhan nitakua kwenye kiwango kikubwa cha mapnz kwa huyo mume,km atakua na hulka hiyo na nikashinawa kuitibia bac akafanyie huko nje c ndan kwangu!

"your man remains to be your man, huwezi mwachia eti kwa sababu your fellow woman amekuzidi kete! Utamwachia for the only reason kuwa hakupendi wala hakujali!!!" L.O.L.........mie simo!!
 
Heheh haya mama mchungaji umesomeka! Ila na we nae, swali limekaa kiungwana sana sema tu hutaki kushea!!
 
My dia kwanza mie cjaolewa na cku nikifikia maamuzi hayo nadhan nitakua kwenye kiwango kikubwa cha mapnz kwa huyo mume,km atakua na hulka hiyo na nikashinawa kuitibia bac akafanyie huko nje c ndan kwangu!

Come back after 5 yrs in marriage; l am sure the story will be different. It is good to dream though!
 
Asante! Jibu lako linakinzana na post yako! Ni kweli uzuri wa mtu uko kwenye macho ya mtizamaji! So ina maana unaposema kwa nini wanaajiri wafanyakazi wazuri utapata changamto.

Mie kwenye hii game hakuna jipya.

Umeona eeh; mwisho atakuja na ushauri wa wake wasifanye kazi, wakae nyumbani kuwasubiria waume zao ili wasiwacheat!
 
Ushauri wangu ni mdogo sana-mwanamke ambaye ni clever haweki house maid....uliona waipi mwanamke wa kizungu ana weka house maid nyumbani kwake....xD
 
Daa Fazaa,naomba kukuuliza uzuri wa mwanamke uko wapi?

Swali zuri, halafu kuongeza tu. . Huko nje mtaani kazini si utakutana nao tu hao wanawake wazuri! Tutafanya kazi ya kulindana tu ndani ya nyumba badala za maendeleo!?! Na wewe utanichunga vipi na wanaume wazuri! Du kazi ipo wanaume wanaoona wao ndo maana ya ndoa ndani ya nyumba! Mazingira kukufavour wewe tu. .
 
"your man remains to be your man, huwezi mwachia eti kwa sababu your fellow woman amekuzidi kete! Utamwachia for the only reason kuwa hakupendi wala hakujali!!!" L.O.L.........mie simo!!
Wala hujakosea kbs!siwezi kuruhusu upuuzi huo,kitakachotutenganisha ni kifo tu au upendo wake kwangu ukifikia kikomo basi,hayo mengine ni wajibu wangu kukomaa nayo mpaka kieleweke!!!
 
Come back after 5 yrs in marriage; l am sure the story will be different. It is good to dream though!
Haiwezi kuwa tofauti kwani tayari nimeshajipanga hivyo!! na najua ndoa sio mchezo na ndio maana naivutia kasi nikiingia humo najua hakuna kutoka wala kuachana kwa mambo yasiyokua na miguu wala mikono!
Haya hayajaanza leo hata mama zetu wenye zaidi ya miaka 50 kwenye ndoa wamevumilia mengi ndio maana leo tumlelewa vizuri na tukirudi vijijin tunawakuta!
 
Wala hujakosea kbs!siwezi kuruhusu upuuzi huo,kitakachotutenganisha ni kifo tu au upendo wake kwangu ukifikia kikomo basi,hayo mengine ni wajibu wangu kukomaa nayo mpaka kieleweke!!!

Uko tayari kuolewa pamoja na housegirl??
 
Haiwezi kuwa tofauti kwani tayari nimeshajipanga hivyo!! na najua ndoa sio mchezo na ndio maana naivutia kasi nikiingia humo najua hakuna kutoka wala kuachana kwa mambo yasiyokua na miguu wala mikono!
Haya hayajaanza leo hata mama zetu wenye zaidi ya miaka 50 kwenye ndoa wamevumilia mengi ndio maana leo tumlelewa vizuri na tukirudi vijijin tunawakuta!

Tukumbuke wazee wetu walikuwa wanaongozwa na mila na desturi lakini wa leo wanaongozwa na dot com ndo maana haya matukio ya ajabu ajabu hayatakoma!!
 
Ushauri wangu ni mdogo sana-mwanamke ambaye ni clever haweki house maid....uliona waipi mwanamke wa kizungu ana weka house maid nyumbani kwake....xD

So unaconclude kuwa mwanamke wa kizungu ni clever eeh! Pole! Kama ulikuwa hujui, wanawake wa kizungu wanaoishi 3rd world wengi huweka maids zaidi ya 1 kwakuwa ni cheap huku, kama vile matajiri wa huko 1st world wanavyowekea watoto zao nunnies, na maids wengine kibao!
 
Kaunga ebu tupatie up date mmefikia wapi lile jambawazi la mapenzi liko sero au bado linatanua mujini ???????.
 
Back
Top Bottom