mpelekeni polisi,huyo binti apatiwe na ushauri nasaha. mdogo wako nesi kwa nini asingeripoti polisi na kumkimbiza hostl binti apatiwe vya hiv kabla masaa 72 hayajapita?
mnaweza niita dikteta
lakini mimi kama ni kaka au baba nimeletewa hii kesi
hiyo ndoa 'naivunja' hata binti akisema amemsamehe mumewe.....
kwa nguvu naivunja hiyo ndoa....
Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!
kuendelea ndoa na mbakaji?
kuachana atakufa au?
mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?
Mkuu atuambie kwanza alikuta anabaka? au wanafanya tendo la ndoa kwa makubaliano? ambayo kama ndio mtoa mada aseme mume wa mdogo wake amekutwa akicheat na housegirl!
Hata mimi... hapo nikumuokoa mkewe asije akaamua out of love wakati mtu mwenyewe hastaili penzi! Ngoja nitoke kabisa hii thread maana kesi hii inaniletea hasira.mnaweza niita dikteta
lakini mimi kama ni kaka au baba nimeletewa hii kesi
hiyo ndoa 'naivunja' hata binti akisema amemsamehe mumewe.....
kwa nguvu naivunja hiyo ndoa....
Kongosho u r very right; risk ya kuendeleza hiyo ndoa ni kubwa mno! Poor the girl, kumbe kwao ni biharamulo! Nimemwambia akamtafute kwa ndugu zake ampeleke hospital then waende police!
Kongosho u r very right; risk ya kuendeleza hiyo ndoa ni kubwa mno! Poor the girl, kumbe kwao ni biharamulo! Nimemwambia akamtafute kwa ndugu zake ampeleke hospital then waende police!
mume mtamu, ndo maana ameshindwa
lakini mfikirie huyo binti ambavyo maisha yake yameharibiwa?!
Kuna risk ya vvu, and she is less than 16, imagine??!!
Maisha yake ya kimapenzi, atakavyokuwa anawachukia wanamme na kuwaogopa
imagine ni binti yako
kwa sasa anayehitaji msaada mkubwa ni hausigelo kuliko hata huyu mke wa mbakaji
lol................afadhari amesimplyfy shughuli jaman.New updates
Mume karudi; anamwambia mdogo wangu, apige hesabu mchango wake kwenye nyumba waliyojenga na kila kitu ili amlipe ndoa iishe! I guess my job has been simplified now; ni kumfanya Mdogo wangu ajue anaweza kuishi bila mume, na amsaidie binti wa kazi kupata justice, mnaonaje?
Secondly, honestly kwangu mimi kuna vitu vingine your decision is at your hand, kwa mtu mbakaji (if it's true) what do you expect of him doesn't matter if he's your husband maana hii kesi we don't treat it tena kama a normal incident.
Kwangu mimi sitasema chochote ila nafikiria mdogo wako knows what is the best decision for her at the moment kwa kuwa anamjua vizuri mumewe na tabia zake....
Kwa wanaosema mwanamke asamehe wajaribu kufikiria ingekuwa mwanamke ndio ametenda hivyo je wangesamehe?
Najua wengi wanaongea maana kuongea ni rahisi kuliko kutenda...
TF....Dueces...
New updates