Kwa hiyo mtoto sio kosa kushiriki tendo la ndoa na 'mwanamke' wa miaka 16 sababu sio mtoto, akipiga kelele ni za raha na akilia ni uchimvi. LAZIMA walikubaliana tu, hata aseme nini, na hata jirani waseme nini.
You are disgusting!
Watu bwana.
Huyo msichana angekua binti yako bado ungeandika uliyoandika hapo juu?
Yani watu wengine hua mnaongea kama ubinadamu unewatoka na ham'ielewi jamii yenu.Less tha 16yrs ndio umri upi huo jamani?
Kama ni less than 14yrs hata uhousegirl airuhusiwi msichukue watoto wadogo na kuwafanyisha kazi za ndani wachukueni above 18yrs ilikama waumezenu wakiwabaka wanakuwa wamebakana right!
Angekua wako ungekubali awe housegirl?
What do you mean? if she is old enough to be a house girl she is old enough to have sex? two wrongs don't make a right. Alafu huwezi kulinganisha kosa la kumuajiri mtoto afanye kazi ya house girl na kosa la kubaka mtoto. the coldness of your posts and the way you constantly try to doubt and blame all other involved except the man raise some questions about your sanity.Niite unavyopenda na changia based na hali halisi, kisheria ndio lakini wawajua kweli watoto wa 16yrs? ni watoto kwa mambo hayo?,what about kuwa ma housegirl?
ipo siku atambaka ndugu yenu wa karibu
Lizzy you are very right, ndio maana nikaileta huku nipate ushauri kama wako; by the way things zinavyoenda sidhani kama kuna ndoa, maana huyo mume haoneshi kujuta wala nini!
Ninachojaribu kuhakikisha ni kumshawishi amsaidie binti wa kazi kupata justice anayodeserve, wasiwasi wangu ni kama alivyodokeza Kongosho, mdogo wangu kwa au kumuonea huruma mumewe au kwa kusikiliza ushauri wa watu wengine (I am sure hanitegemei mimi tu kwa ushauri, na mumewe wanatoka mji mmoja; pia mama mkwe wake ni bonge la wizard), au vitisho vya mume, anaweza asimtendee haki binti wa kazi!
Angekua wako ungekubali awe housegirl?
No Fe Lady, hapa victim sio mke. yeye ni collateral damage tu, victim ni huyo binti, na kosa kama hilo halisameeki!
Huyu mtu ni hatari kwa binadamu wengine na lazima afungwe, na matokeo yake ndoa pia itakua affected.
Lizzy, kwa majibu yake anaonesha hata yeye angeweza kufanya hivo. Kosa ni la wazazi wa binti walo mtuma, kosa ni la binti kua na miaka 16 (kwake zinatosha), majirani ni waongo sababu binti alitaka mwenyewe, haku bakwa, kosa ni la mke kumpa mtoto ajira ila mwanaume hana kosa. ana kosa NDOGO la kucheat ambali lazima asamehewe!Yani watu wengine hua mnaongea kama ubinadamu unewatoka na ham'ielewi jamii yenu.
Hao watoto umeambiwa wanaenda kufanya hizo kazi kwa starehe.Kama mtu huna huruma kwenye maswala kama haya ni bora ukanyamaza kuliko kudhihirisha kwamba wewe na huyo mbakaji hamna tofauti.Eti binti alikua analilia utamu, ona hata aibu basi.
Some people lack compassion for other beings, just like that rapist bastard.What do you mean? if she is old enough to be a house girl she is old enough to have sex? two wrongs don't make a right. Alafu huwezi kulinganisha kosa la kumuajiri mtoto afanye kazi ya house girl na kosa la kubaka mtoto. the coldness of your posts and the way you constantly try to doubt and blame all other involved except the man raise some questions about your sanity.
Unajua mwanzoni sikujua km hali ni critical sana, Mwali kwa sasa mi sitetei tena jamaa si mstaarabu tena akamatwe tu na kushtakiwa ikibidi km ushaidi bado unaweza kupatikana
Fe Lady ingekua kulewa ni excuse tosha kwa kubaka basi pombe ingepigwa marufuku maana tungekua tumebakwa wote. Kama huwezi pombe dasi usizinywe. sioni excuse gani anaweza kutoa hapo na asamehewe.Naelewa kabinti ndo kavictim,let say jamaa alikuwa kalewa so alifanya hivyo si kwa akili zake.Fikirieni mke akamshitaki jamaa afungwe mvua 30 sijui.Dah AMSAMEHE TU
Watoto wa kike ninao,Ila jamaa wakati anafanya hivyo alikuwa katika stuation ipi?let say alikuwa kalewa.Jamani Huyu mke akimpeleka polisi mme wake,baadae ataregreat vibaya mnohutegemei kupata watoto wa kike?
Afu kawe ka kipanga kama wewe?
Lizzy, kwa majibu yake anaonesha hata yeye angeweza kufanya hivo. Kosa ni la wazazi wa binti walo mtuma, kosa ni la binti kua na miaka 16 (kwake zinatosha), majirani ni waongo sababu binti alitaka mwenyewe, haku bakwa, kosa ni la mke kumpa mtoto ajira ila mwanaume hana kosa. ana kosa NDOGO la kucheat ambali lazima asamehewe!
Kwahiyo we ukibakwa na mlevi utaona poa tu?Watoto wa kike ninao,Ila jamaa wakati anafanya hivyo alikuwa katika stuation ipi?let say alikuwa kalewa.Jamani Huyu mke akimpeleka polisi mme wake,baadae ataregreat vibaya mno
What do you mean? if she is old enough to be a house girl she is old enough to have sex? two wrongs don't make a right. Alafu huwezi kulinganisha kosa la kumuajiri mtoto afanye kazi ya house girl na kosa la kubaka mtoto. the coldness of your posts and the way you constantly try to doubt and blame all other involved except the man raise some questions about your sanity.