Fighter
JF-Expert Member
- Aug 30, 2009
- 615
- 153
Kwa hiyo mtoto sio kosa kushiriki tendo la ndoa na 'mwanamke' wa miaka 16 sababu sio mtoto, akipiga kelele ni za raha na akilia ni uchimvi. LAZIMA walikubaliana tu, hata aseme nini, na hata jirani waseme nini.
You are disgusting!
Niite unavyopenda na changia based na hali halisi, kisheria ndio lakini wawajua kweli watoto wa 16yrs? ni watoto kwa mambo hayo?,what about kuwa ma housegirl?