Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kimsingi swala hili laweza pia kumalizwa socially na house G akapewa haki zake.
 
Kuachana ni jambo kubwa na zito haswa ukizingatia ni ndoa ya Kikristu - Kikatoliki, ushauri wangu hapa ni kuondoa "Cause" for discomfort; nayo ni yule house girl jambo ambalo linaweza kutekelezeka kirahisi na bila ya athari kubwa kwa wao na watoto. Ni baada ya kumwondoa Binti mhusika ndipo wanaweza keti kumaliza tofauti zao. Mume akiwa mstaarabu ataomba radhi na yatakwisha. Inambidi mdogo wako kuwa makini sana na wasaidizi wa ndani ili hilo lisije rudiwa tena.
 
Huyo mwanaume **** kweli,pamoja na ufala wake asamehewe jamani.Unajua kumuangamiza mmeo wakati ulikuwa na uwezo wa kumuokoa ni kosa kubwa sana.Anyway wao ndo wenye uamuzi wa mwisho
Na binti wa kazi asaidiweje? Au kwa kuwa possibly wazazi (kama anao) hawana uwezo? Nisaidie, Ashadii alishasema nawachukia wanaume, n she is right TSE, nisaidie niamue bila kuingiza hasira. Though sio muamuzi wa mwisho, nashauri tu!
 


yaani ni bora alivyobaka? hata kama kungekua na tatizo lenye ukubwa wa aina gani KUBAKA hakukubaliki, haijalishi amembaka mtoto au mtu mzima. Na ndoa huwa haisuluhishwi kwa namba hiyo. Mume anashinda Geita machimboni ina maana mke akipata hamu atafute mtu? Na mume kule akipata hamu awe na mtu? hiyo ni ndoa kweli?

mwanaume anayejiheshimu, anayeheshimu , anayethamini na kuijali nyumba yake, anayejitambua IKITOKEA amecheat hawezi kucheat nyumbani kwake hata siku moja, na wala mkewe hawezi jua..... zaidi hawezi KUBAKA...
 
hapo kwny red ,mtu akibakwa kumpeleka hosptl ni km emergency coz huko wanaangalia signs of penetration n possible forced one pia ,wanafanya investigations km sperm analysis ,maambukizi ya magonjwa ya zinaa km anayo na km kuna uwezo wa kuwa ameambukizwa(hiv/aids ,syphills ,gonorrhea n.k),pregnancy test kujua km anayo au hana, km hana anapewa emergency contraceptive kuzuia uwezekano wa kupata mimba ......pia kuanzishiwa utaratibu wa kutibiwa kimwili pamoja na kiakili (kubakwa siyo jambo dogo likikukuta)
make sure u do the right thing to help th gal aseeeh!
 
Wewe mimi ni mkubwa, namzidi miaka isiyopungua 4, so he can't! Lemme see, wamefikia wapi nitaupdate ili kupata ushauri zaidi whenever needed!


Sasa hapo mkubwa abakwi!!!
 
Sasa hapo mkubwa abakwi!!!

With help yes, with silaha yes, lkn sio kwa mtindo alioutumia kwa poor helpless girl. Nafikiri umeelewa, by the way nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa ana wasi wasi kuwa huyo dogo anaweza kunibaka mie!
 
unajua bwana
kama hujawahi lala njaa huwezi ijua njaa

kuna mtoto alikwahi sikia sehemu fulani kulikuwa na ukame wa muda mrefu
na watu wanakufa njaa

akamjibu mzazi wake 'kwani friji zao hazina juisi'

Less than 16 hata kama ananjaa na unajali sana best opt. sio kumpa uhousegirl napinga kwa nguvu zote!!
 
Well said Badili Tabia, l wish wengi tungebadili tabia for the better!
 
With help yes, with silaha yes, lkn sio kwa mtindo alioutumia kwa poor helpless girl. Nafikiri umeelewa, by the way nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa ana wasi wasi kuwa huyo dogo anaweza kunibaka mie!

Unajua watu hawaelewi simshabikii mbakaji lkn jamani pia tujalibu kua na alternative ya kuwasaidia wtt wanaoukuja kwetu au tunaotumiwa na ndugu ambao ni wadogo!!

Unajua mtt ni mdogo alafu HS! inamuondolea kujiamini sana hata kua kazi rahisi kwa mbakaji!! tuwasaidie kwa njia nyingine ambazo zitawafanya wajiamni na kuspeakout vitu vibaya!! unafikiri uyo mbakaji alianza tu najua alimtongoza kwanza!!
 

Ni muhimu ujue sipo hapa kutetea ubakaji,
kikubwa nikujaribu kueleza chanzo cha huo ubakaji, hata kama mme/mke anafanyakazi mbali basi ni vema kua na ratiba maalumu ambayo kila mmoja atajua akilini na mwili utajiandaa ivyo.
Kwa hio wewe kutokana na maelezo yako unaruhusu cheat?
 
Sasa na conclude!!
  1. Mbakaji achukuriwe hatua za kisheria!!
  2. Wanandoa watapima uzito!!
  3. Less tha 18yrs wasifanyishwe kazi za ndani
  4. Nalog-off source wakuwasha!!
 
Kuna comment za watu wengine humu ukizisoma sijui wanapoandika wanatumia kiungo gani kufikiria...
 

Inaonekana cheating ndo tabia yake. but hii ya uder 18 ni muda so sheria ichukue mkondo wake.
 

wala isikusumbue akili, hio kwa wanaume ni nature si makosa yao chamsingi ni mvulana kujua kua kuna udhaifu huo wa wanawake kwa asilia kabisa hivyo kua makini na hilo kila wakati, ila hata wanawake nina experience na hili wao pia makosa yao mengi chanzo chao ni wanaume toka nimesoma girlz hata chuo nimeona hayo so hawatofautiani sana,
nasistiza swala hilo laweza tatuliwa socially na yakaisha.
Na mdogo wako akapata muda wa kujipanga upya na mmewe,kumbuka wao ni binadamu na sio wakamilifu, ndugu!
 
Mtu mzima(above 18yrs) anabakwa siku hizi? unless kama njemba zaidi ya mmoja!! above 18 one to one wanabakana!


NARUDIA TENA ACHENI KUWACHUKUA WATOTO WADOGO LESS THAN 16 KWA KISINGIZIO CHA KUWASAIDIA
i total disaggree na concept yako ya raping ,km mtu ni sex offender siyo lazima shambulio la aibu lihusishe actual penetration hata kumshika mwanamke viungo vyake bila ridhaa yake ni shambulio la aibu na linawakwaza sana wanawake kisaikolojia bila kujali umri ....vp ww mke wako ,au dada yako au mtoto wako mwny miaka 40 akishikwa **** mbele yako bila ridhaa yake utafanyaje?
hapan ishu ni ile dhamira tu regardless of umri ,hilo la kuwatumikisha under 18 linangukia kwny childrens labour ambalo hilo ni jambo lingine.
 
Inaonekana cheating ndo tabia yake. but hii ya uder 18 ni muda so sheria ichukue mkondo wake.

hapana nadhani hajapata watu wakumshauri vizuri, lakini anaweza kujirekebisha na akawa raia mwema na akawa mshauri mzuri kwa wenziwe,
nashauri akalishwe chini nawatu wenye heshima arejeshwe kimaadili.
 
Hivi ingekua wewe/dada yako/mtoto wako ndie aliyebakwa bado ungeshauri hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…