Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na binti wa kazi asaidiweje? Au kwa kuwa possibly wazazi (kama anao) hawana uwezo? Nisaidie, Ashadii alishasema nawachukia wanaume, n she is right TSE, nisaidie niamue bila kuingiza hasira. Though sio muamuzi wa mwisho, nashauri tu!Huyo mwanaume **** kweli,pamoja na ufala wake asamehewe jamani.Unajua kumuangamiza mmeo wakati ulikuwa na uwezo wa kumuokoa ni kosa kubwa sana.Anyway wao ndo wenye uamuzi wa mwisho
Siku zote ninapenda utambue kwamba katika lndoa/mahusiano haswa kwa wapendanao kwa dhati litokeapo tatizo kimbilio la kwanza sio kuachana No please, ni vema kupata muda wa kuzungumza tena kwa kuvumiliana kwani sababu zipo nyingi za kumfanya mwanamume afanye mambo ya aina hio, kwa mwanamke muelewa ni lazima ajiulize kama anatimiza wajibu wake wa kumpa tendo la ndoa au kazi ndo imekua kazi kiasi cha kumsahau mume we wadhani chakula kile umpikiacho nguvu zote ziende wapi?
Nadhani umshauri mdogo wako atimize wajibu wake na mmewe hatakua na tamaa kwa sababu alimchagua yeye,
kiukweli kwa mwanamke kumfanya mvulana akupende na awemwaminifu ni rahisi sana ila wadada wengi wakileo hawajawapa waumezao nafasi kwa kiwango stahili.
Tena ashukuru katembea hapo hapo ndani yaonyesha alizidiwatu coz mkewe hampi shughuli ya kutosha,
je angemfuma uwanja wa fisi?
So nibora ajue chanzo kuliko kuachana kwani nani kakwambia atapata mwengine asiye na kasoro.
Mkajipange upya!
hapo kwny red ,mtu akibakwa kumpeleka hosptl ni km emergency coz huko wanaangalia signs of penetration n possible forced one pia ,wanafanya investigations km sperm analysis ,maambukizi ya magonjwa ya zinaa km anayo na km kuna uwezo wa kuwa ameambukizwa(hiv/aids ,syphills ,gonorrhea n.k),pregnancy test kujua km anayo au hana, km hana anapewa emergency contraceptive kuzuia uwezekano wa kupata mimba ......pia kuanzishiwa utaratibu wa kutibiwa kimwili pamoja na kiakili (kubakwa siyo jambo dogo likikukuta)....dada yangu yamenikuta kama ya jimmy (my x sio jina lake halisi) na loyce (my former maid); Elisha (mume wa mdogo wangu sio jina lake) kambaka msichana wa kazi, nilikuwa 9t, kesho nitampelka hospt ili twende police, mengi ntakupigia kesho......
Sio Hasira zangu, hiyo ndio SMS nimeedit majina tu!
Wewe mimi ni mkubwa, namzidi miaka isiyopungua 4, so he can't! Lemme see, wamefikia wapi nitaupdate ili kupata ushauri zaidi whenever needed!
unajua bwana
kama hujawahi lala njaa huwezi ijua njaa
kuna mtoto alikwahi sikia sehemu fulani kulikuwa na ukame wa muda mrefu
na watu wanakufa njaa
akamjibu mzazi wake 'kwani friji zao hazina juisi'
With help yes, with silaha yes, lkn sio kwa mtindo alioutumia kwa poor helpless girl. Nafikiri umeelewa, by the way nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa ana wasi wasi kuwa huyo dogo anaweza kunibaka mie!
yaani ni bora alivyobaka? hata kama kungekua na tatizo lenye ukubwa wa aina gani KUBAKA hakukubaliki, haijalishi amembaka mtoto au mtu mzima. Na ndoa huwa haisuluhishwi kwa namba hiyo. Mume anashinda Geita machimboni ina maana mke akipata hamu atafute mtu? Na mume kule akipata hamu awe na mtu? hiyo ni ndoa kweli?
mwanaume anayejiheshimu, anayeheshimu , anayethamini na kuijali nyumba yake, anayejitambua IKITOKEA amecheat hawezi kucheat nyumbani kwake hata siku moja, na wala mkewe hawezi jua..... zaidi hawezi KUBAKA...
Hicho ndicho ninachokiwaza mimi; ila mama yake (mamdogo wangu) anamshauri avumilie akirecall kwenye familia baba nani alicheat mbona ndoa yaendelea!
I aggree with u, amekuwa akicheat na wanawake wengine lkn Mdogo wangu amekuwa akivumilia, hii ya Housegirl tena under 18, ni mbaya zaidi!
@pilu
Kwa kuwa nimeomba ushauri mwenyewe inabidi nikubali kupokea ushauri wako. Lkn by the time ukipitia post zinazofuata, na ile yenye update ya situation naamini utabadilisha ushauri! By the way, are the men children? Kwanini makosa yao yote chanzo chake ni wanawake? Na wanawake chanzo cha makosa yao ni nini eti; au ndio Nyoka?
i total disaggree na concept yako ya raping ,km mtu ni sex offender siyo lazima shambulio la aibu lihusishe actual penetration hata kumshika mwanamke viungo vyake bila ridhaa yake ni shambulio la aibu na linawakwaza sana wanawake kisaikolojia bila kujali umri ....vp ww mke wako ,au dada yako au mtoto wako mwny miaka 40 akishikwa **** mbele yako bila ridhaa yake utafanyaje?Mtu mzima(above 18yrs) anabakwa siku hizi? unless kama njemba zaidi ya mmoja!! above 18 one to one wanabakana!
NARUDIA TENA ACHENI KUWACHUKUA WATOTO WADOGO LESS THAN 16 KWA KISINGIZIO CHA KUWASAIDIA
Kuna comment za watu wengine humu ukizisoma sijui wanapoandika wanatumia kiungo gani kufikiria...
Inaonekana cheating ndo tabia yake. but hii ya uder 18 ni muda so sheria ichukue mkondo wake.
Hivi ingekua wewe/dada yako/mtoto wako ndie aliyebakwa bado ungeshauri hivi hivi.wala isikusumbue akili, hio kwa wanaume ni nature si makosa yao chamsingi ni mvulana kujua kua kuna udhaifu huo wa wanawake kwa asilia kabisa hivyo kua makini na hilo kila wakati, ila hata wanawake nina experience na hili wao pia makosa yao mengi chanzo chao ni wanaume toka nimesoma girlz hata chuo nimeona hayo so hawatofautiani sana,
nasistiza swala hilo laweza tatuliwa socially na yakaisha.
Na mdogo wako akapata muda wa kujipanga upya na mmewe,kumbuka wao ni binadamu na sio wakamilifu, ndugu!