Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Sasa na conclude!!
  1. Mbakaji achukuriwe hatua za kisheria!!
  2. Wanandoa watapima uzito!!
  3. Less tha 18yrs wasifanyishwe kazi za ndani
  4. Nalog-off source wakuwasha!!

Thanks kwa mchango, ngoja my helper akija nimuulize how old is she! LOL
 
Wewe mimi ni mkubwa, namzidi miaka isiyopungua 4, so he can't! Lemme see, wamefikia wapi nitaupdate ili kupata ushauri zaidi whenever needed!
nakushauri usome post niliyomjibu fighter hapo juu regarding age kwenye kubakwa itakusaidia kidogo.....
after all hiyo ndo inamatatizo sana ,kwanza uwezekano wa kupata mtoto ni kwa % ndogo sana na hili litazidisha machungu ya ndoa huko baadae , mume siyo mwaminifu + ni sexual offender.
huyo mume mwny low sperm count imekula kwake kwa asilimia kubwa ila huyo wife anaweza kuzibuliwa mirija kwa asilimia kubwa ikawa successful.
 

huyo shetani mnamsingizia shetani ye mwenyewe
 
Thanks kwa mchango, ngoja my helper akija nimuulize how old is she! LOL
Huyo sijui anahishi wapi ila ukweli wa Africa ni kwamba zaidi ya asilimia 50 ya watu wako chini ya miaka 25, kiwango cha wafanya kazi kipo chini sana kwa hiyo ni idadi chache ya watu ndio wanafanya familia kuendelea kuishi. Chini ya miaka 18 ni mtoto ila kuna kitu kina itwa early emancipation ambacho kinaruhusu watoto chini ya miaka 18 kufanya kazi ila inategemea ni kazi gani, na lazima mzazi ampe ruhusa. Kama msaidizi wako ana miaka 16 hakikisha unazingatia sheria tu, ila hakuna dhambi hapo.
Fighter kalazimisha kuwabandika waajiri kosa la ubakaji wakati hakuna direct link.
 
ningetaka kujua chanzo in detail then ningetoa maamuzi husika, dia!

Aiseee!
Na siku akifa kwa ngoma/ishia kupata mimba ya mbakaji bado utaona poa kwasababu chanzo kilikuridhisha?
 
watoto wanaofanyishwa kazi za kuomba barabarani ni wadogo wengine less than 10
watoto wanaofanya kazi za kuchekeche mabaki ya michanga ya madini some are less than 12
watoto wanaoajiriwa kwenye makaa ya mawe?
Watoto wanaoajiriwa kazi za kuchoma mkaa?

Unadhani wazazi wao wanapenda?
Unadhani wangekuwa na alternative wangewaacha wafanye hizo kazi?
Tena wengine wanaajiriwa kwenye madanguro

that's real life
wanafanyishwa kazi
ndo maana kukaanzishwa mkakati wa kutetea haki za watoto
ni baada ya hili tatizo kuwepo globally
kwa hiyo ni fact watoto under 18 wanaajiriwa
hata kama wameajiriwa walindwe

Less than 16 hata kama ananjaa na unajali sana best opt. sio kumpa uhousegirl napinga kwa nguvu zote!!
 
With husbands like these, who needs marriage?

Noone aisee; ila wait and see ushauri atakaopata toka kwa kina mama na mashangazi; sijui linda ndoa, mfichie aibu mumeo, sijui ndoa ya kanisani .......
 
@Mwali
I know, nilitaka kumwachia fighter awin the fight ili tutumie energy na muda kushauriana kuhusu victims hasa binti wa kazi; wameenda hospital nitaupdate results na proceedings!
Thanks kwa michango mizuri!
 
With help yes, with silaha yes, lkn sio kwa mtindo alioutumia kwa poor helpless girl. Nafikiri umeelewa, by the way nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa ana wasi wasi kuwa huyo dogo anaweza kunibaka mie!
nakuambia u can get nailed regardless ya hiyo age yako unayodai ni ya kigwiji ,na zaidi shambulio la aibu siyo lazima uingiziwe penis hata ukishikwa matiti bila ridhaa yako itakuuma vilevile.
 
Aiseee!
Na siku akifa kwa ngoma/ishia kupata mimba ya mbakaji bado utaona poa kwasababu chanzo kilikuridhisha?

si lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?
 

LIKE ,LIKE, LIKE.
Watu wengine wanajifanya kama vile hawaelewi kinachoendelea huko mitaani.Watoto hata wasipoajiriwa wanajiajiri ili wapate kula na sio kwa starehe.
 
nakuambia u can get nailed regardless ya hiyo age yako unayodai ni ya kigwiji ,na zaidi shambulio la aibu siyo lazima uingiziwe penis hata ukishikwa matiti bila ridhaa yako itakuuma vilevile.

Nimekupata Asakuta!
 
@Mwali
tutumie energy na muda kushauriana kuhusu victims hasa binti wa kazi; wameenda hospital nitaupdate results na proceedings!
Thanks kwa michango mizuri!

Yeahhh jitahidini kumsaidia huyo binti wa watu kwanza.Imagine na matatizo yote aliyonayo (mpaka akubali kuwa mfanyakazi wa ndani) , mara aishie kupata mimba kwa umri huo au magonjwa ya zinaa. Sijui katafanya nini masikini. . . .
 
si lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?

Hakuna kutowajibika kwa mke kutakakosababisha mwanamme mwenye akili ambake mtoto aliye chini ya miaka 18.

Hii ndiyo tunaita "blaming the victim".

I bet unaweza hata kusema huyo mtoto naye alikuwa anajipitishapitisha kwa huyu baba baradhuli ili tu kumtetea.

Kutetea ubaradhuli bila hata ya sababu ya msingi ni kuonyesha kwamba hata wewe una fikra za kibaradhuli.

So what hata kama mke wako anafanya kazi sana na hana muda wa kukuhudumia, does that give you a right to rape an underage girl?
 

Naishi dunia hii waishi wewe,

Nyekundu nakubaliana na wewe, sasa 18 less nayo yachangiaje familia yao?

Nasijawapa kosa waajiri ni mtazamo wangu 18 less ni wadogo! wafaa kupewa best opt. ya kuwasaidia!
 
si lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?
Kwahiyo mke ndio kamfanya mumewe MBAKAJI?
Wewe mke wako anaweza kukufanya mbakaji (kama ni mwanaume)???
Unaweza ukamfanya mumeo MBAKAJI (kama ni mwanamke)??
Kila mwenye matatizo kwenye ndoa yake ana haki ya kuwa mbakaji na mbakaji ana haki ya kubakwa kwasababu mbakaji ana matatizo kwake?

Kweli watu tunatofautiana zaidi ya vidole na sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…