Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
With husbands like these, who needs marriage?
NOBODY!!
Ndoa nyingine hasara tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
With husbands like these, who needs marriage?
With husbands like these, who needs marriage?
Hivi ingekua wewe/dada yako/mtoto wako ndie aliyebakwa bado ungeshauri hivi hivi.
nakushauri usome post niliyomjibu fighter hapo juu regarding age kwenye kubakwa itakusaidia kidogo.....Wewe mimi ni mkubwa, namzidi miaka isiyopungua 4, so he can't! Lemme see, wamefikia wapi nitaupdate ili kupata ushauri zaidi whenever needed!
Sio hivyo The Boss,kumbuka kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa,kumbuka sote ni wadhaifu na kuna wakati shetani anatuzidi nguvu hata Yesu alisema kwa yule mwanamke kuwa Asiye na dhambi na ampige huyu mama kwa mawe....je nani msafi kati ya wanadamu?????
Huyo sijui anahishi wapi ila ukweli wa Africa ni kwamba zaidi ya asilimia 50 ya watu wako chini ya miaka 25, kiwango cha wafanya kazi kipo chini sana kwa hiyo ni idadi chache ya watu ndio wanafanya familia kuendelea kuishi. Chini ya miaka 18 ni mtoto ila kuna kitu kina itwa early emancipation ambacho kinaruhusu watoto chini ya miaka 18 kufanya kazi ila inategemea ni kazi gani, na lazima mzazi ampe ruhusa. Kama msaidizi wako ana miaka 16 hakikisha unazingatia sheria tu, ila hakuna dhambi hapo.Thanks kwa mchango, ngoja my helper akija nimuulize how old is she! LOL
ningetaka kujua chanzo in detail then ningetoa maamuzi husika, dia!
Less than 16 hata kama ananjaa na unajali sana best opt. sio kumpa uhousegirl napinga kwa nguvu zote!!
nakuambia u can get nailed regardless ya hiyo age yako unayodai ni ya kigwiji ,na zaidi shambulio la aibu siyo lazima uingiziwe penis hata ukishikwa matiti bila ridhaa yako itakuuma vilevile.With help yes, with silaha yes, lkn sio kwa mtindo alioutumia kwa poor helpless girl. Nafikiri umeelewa, by the way nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa ana wasi wasi kuwa huyo dogo anaweza kunibaka mie!
Aiseee!
Na siku akifa kwa ngoma/ishia kupata mimba ya mbakaji bado utaona poa kwasababu chanzo kilikuridhisha?
watoto wanaofanyishwa kazi za kuomba barabarani ni wadogo wengine less than 10
watoto wanaofanya kazi za kuchekeche mabaki ya michanga ya madini some are less than 12
watoto wanaoajiriwa kwenye makaa ya mawe?
Watoto wanaoajiriwa kazi za kuchoma mkaa?
Unadhani wazazi wao wanapenda?
Unadhani wangekuwa na alternative wangewaacha wafanye hizo kazi?
Tena wengine wanaajiriwa kwenye madanguro
that's real life
wanafanyishwa kazi
ndo maana kukaanzishwa mkakati wa kutetea haki za watoto
ni baada ya hili tatizo kuwepo globally
kwa hiyo ni fact watoto under 18 wanaajiriwa
hata kama wameajiriwa walindwe
@Mwali
tutumie energy na muda kushauriana kuhusu victims hasa binti wa kazi; wameenda hospital nitaupdate results na proceedings!
Thanks kwa michango mizuri!
si lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?
Huyo sijui anahishi wapi ila ukweli wa Africa ni kwamba zaidi ya asilimia 50 ya watu wako chini ya miaka 25, kiwango cha wafanya kazi kipo chini sana kwa hiyo ni idadi chache ya watu ndio wanafanya familia kuendelea kuishi. Chini ya miaka 18 ni mtoto ila kuna kitu kina itwa early emancipation ambacho kinaruhusu watoto chini ya miaka 18 kufanya kazi ila inategemea ni kazi gani, na lazima mzazi ampe ruhusa. Kama msaidizi wako ana miaka 16 hakikisha unazingatia sheria tu, ila hakuna dhambi hapo.
Fighter kalazimisha kuwabandika waajiri kosa la ubakaji wakati hakuna direct link.
Kwahiyo mke ndio kamfanya mumewe MBAKAJI?si lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?