Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Dunia ina mengi ndugu na hata wewe unamadhaifu yako ambayo ni siri yako no one is perfect,
haijaelezwa kwamba alikua mkware ata kabla ya tukio.
So apewenafasi tena!
Bado naamini kua awezakua mume bora kuliko hata wanaoonekana bora.

Km siyo mkware, hao wasio na ndoa watamwibaje?
Na km ameweza kukadoo kabinti ka kazi ka 16yrs unataka kutushawishi nini hapa? Kwamba ni psychological problem?
Na km alikuwa na wengine zaidi ya huyo house girl, atakiri?
Anyway maamuzi ni ya mwenye mume.
 
we wataka ndoa ivunjike so hawatamwiba watamchukua.
So msifanye ivo msio na ndoa.
 
Nakunga mkono, mbakaji utamuachaje aendele kubaka na kuaribu vischana vya watu!!!! maskini we. Mie ningechukua msichana kwenda nae kituoni na kumshtaki kwa ubakagi na kanisani kwa kusaliti ndoa. sizani kama ukristo unaruhusu kubaka.

Huyo anaweza kubaka hata mtoto wenu, ndugu yako nk.
 
we wataka ndoa ivunjike so hawatamwiba watamchukua.
So msifanye ivo msio na ndoa.

thamani ya ndoa hapo iko wapi, km mwenye ndoa au aliyekuoa ameshindwa kukuthamini akatembea na hgirl?
Kuacha au kutokuacha ndoa kuko mikononi mwake regardless sisi tusio na ndoa tumesema nini. But al in al, amemdhalilisha mkewe to the great extent. Na hapo kafumaniwa, asingefumaniwa, tungekuja kupata thread hapa kampa mimba house girl.
Kazi kweli kweli!!
 
hajamdhalilisha mkewe kajidhalilisha mwenyewe, ila mkewe yaonyesha hua hampi kwa muda mrefu so kuokoa ndoa ni mke kua karibu ili kumuhudumia aibu zengine hazitatokea ndugu.
 
laana zingine huwa tunazitafuta kwenye koo zetu
mfano, kama kweli binti kabakwa na hakuna anayemjali, unadhani hawezi pata natural justice?

Mnakuta kizazi chenu chote kinalipia maovu yenu. Waepusheni vizazi vyenu na mibalaa isiyo ya lazima.
 
hajamdhalilisha mkewe kajidhalilisha mwenyewe, ila mkewe yaonyesha hua hampi kwa muda mrefu so kuokoa ndoa ni mke kua karibu ili kumuhudumia aibu zengine hazitatokea ndugu.

Kwa hyo akaona pakukidhi haja zake ni kwa hako katoto?
Km mama hatoi mzigo mda mrefu alipaswa kuvunja ukimya na kuzungumza nae, km kweli alikuwa anampenda mkewe na ndoa yake.
 
Kaunga, shemeji bado anashikilia kupigiwa mahesabu ya mali?

Wachangiaji, michango yenu mizuri!
 
hajamdhalilisha mkewe kajidhalilisha mwenyewe, ila mkewe yaonyesha hua hampi kwa muda mrefu so kuokoa ndoa ni mke kua karibu ili kumuhudumia aibu zengine hazitatokea ndugu.
P

pilu unadhani hili ndo tatizo? unafikiri hata akipewa masaa 18 per day tatizo la huyu mwanaume litaisha?

Morning guys!
Nimefuatilia michango yenu mizuri ambayo honestly inanisaidia kutafakari hili swala. Naomba niweke wazi some of the issues, pale ambapo ni opinion yangu nitamention kwa initial hii 'MO'
1. Simjui vizuri huyo shemeji yangu (kitabia)
2. Wana shida ya mtoto; wote wamepima wana matatizo (ingawa mwanaume hayakubali matokeo)
3. Mdogo wangu alishapata info ya infedality ya mumewe kwa mdada mwingine (akampiga mkwara, dada akakiri na kuomba msamaha)
4. Mama mdogo wangu (mama yake Mdogo wangu alishaenda kutatua mgogoro wa ndoa hiyo few months ago)
5. Baada ya ugomvi wa juzi huyo mume amefikia uamuzi wa kugawana mali na kuachana (sidhani kama anajutia au anataka ndoa; na kwangu mimi bado sijashawishika umuhimu wa ndoa hii, but sintamshauri hivyo Mdogo wangu. MO)
6. Mdogo wangu msimamo wake mpaka jana usiku (sijau-influence) ni get out of that wedlock
7. Binti wa kazi umri wake ni miaka 16 kama alivyoreport kwa employers wake
8. Asubuhi hii, hapatikani kwenye simu, napata wasiwasi kidogo!
 
duh msaada wa mungu unahusika hapo mana hali ni mbaya, jaribu kumshirikisha hata mchungaji kwenye maamuzi yenu. tu wadhaifu daima. msamaha wahusika zaidi
 
Hilo ni jambo limeshapita, kuachana sio suluhisho maana bado kwa kufanya hivyo hatapata suluhu ya hilo jambo, hata angepata mwanaume mwingine bado anaweza akakwaza maana hizo tabia zipo kwa wanaume wengi (si wote) hivyo alichukulie hilo jambo kwa upendo. Apunguze hasira, amlaumu kwa nia ya kumfanya mumewe aone kuwa alichokifanya sio kitu kizuri. Pia kwa wale wanawake wanaoelewa tabia za wanaume vizuri ambacho angefanya ni "kunyamaza kimya!!! kwenye hilo jambo" (sio kununa) utashangaa jinsi mumewe atakavyojikanyaga.
 
hajamdhalilisha mkewe kajidhalilisha mwenyewe, ila mkewe yaonyesha hua hampi kwa muda mrefu so kuokoa ndoa ni mke kua karibu ili kumuhudumia aibu zengine hazitatokea ndugu.

Usi simplify vitu complex kama ndoa kwa kureduce mahusiano kwa sex; nikikuambia mimi nilimpa 3 times a day na bado akanmimba Housegirl wangu utaamini? Do u know couple wanaotoroka kazini na kwenda kudo? Do u know couple wanaondoka weekend na kwenda kudo sehemu nyingine do u know couple wanaoacha bedroom na kwenda kudo kwenye meza ya office? Au nje kwenye balcony? Bwana what my sis is going thru, l have been there; kama kutafuta where l did wrong nimefanya sana, at the end of the day, nilikuja kujua he is just a Son of His Father tu!

But, usijali ninajua councilling; so far nimekuwa msikilizaji zaidi, hata akija nitamsaidia afikie maamuzi yake mwenyewe bila kuibfluence maamuzi!

Ila so far, nafikiri maisha yangu ni kama funzo kwake, nina mtu mwingine ingawa ni distant relationship; hakuna drama za saana! Or at least zijajiachia kihivyo kwenye mapenzi!
 
Morning guys!
Nimefuatilia michango yenu mizuri ambayo honestly inanisaidia kutafakari hili swala. Naomba niweke wazi some of the issues, pale ambapo ni opinion yangu nitamention kwa initial hii 'MO'
1. Simjui vizuri huyo shemeji yangu (kitabia)
2. Wana shida ya mtoto; wote wamepima wana matatizo (ingawa mwanaume hayakubali matokeo)
3. Mdogo wangu alishapata info ya infedality ya mumewe kwa mdada mwingine (akampiga mkwara, dada akakiri na kuomba msamaha)
4. Mama mdogo wangu (mama yake Mdogo wangu alishaenda kutatua mgogoro wa ndoa hiyo few months ago)
5. Baada ya ugomvi wa juzi huyo mume amefikia uamuzi wa kugawana mali na kuachana (sidhani kama anajutia au anataka ndoa; na kwangu mimi bado sijashawishika umuhimu wa ndoa hii, but sintamshauri hivyo Mdogo wangu. MO)
6. Mdogo wangu msimamo wake mpaka jana usiku (sijau-influence) ni get out of that wedlock
7. Binti wa kazi umri wake ni miaka 16 kama alivyoreport kwa employers wake
8. Asubuhi hii, hapatikani kwenye simu, napata wasiwasi kidogo!

kwa sababu hizi ulizozitoa hapa, kwa uzoefu wangu tatizo ni kubwa ila wana nafasi ya kwenda kanisani kwa waliowafungisha ndoa, ili kama muafaka hautapatikana basi mama huyo aelekee mahakamani baada ya kupewa barua na viongozi wa kanisa kuwa wameshindwa kusuluhisha, kimsingi wewe usijiingize kabisa kutoa ushauri wa kuachana maana lawama zinaweza kubaki kwako baadae
 
dah! hii dunia kweli ni tambara bovu, naogopa ata kumshauri,
ila kama ingekuwa ni mimi huwa sitaki ushauri kwenye mambo ya mapenzi, naamini maamuzi yangu huwa ndo sahihi na hata nikijuta sina wa kumlaumu, hapo watu wangesikia tu nimeshachange na jina kutoka mrs kwenda miss kabisaaaaaaaaaa, wala hamu ya huyo mume ningekuwa sina tena. loh! house girl miaka 16 hata kunawa mkojo hajuwi. loh!
 
Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.

Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)

Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)

Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.

Sijui kama ni bangi za mgodini au pomba za christmass. Lakini kwa vyo vyote vile huyu Shemeji yako sio Muungwa, maana katenda kosa badala ya kuomba samahani, anawafukuza Mama na HG, kufunga nyumba na kurudi mgodini. Hicho kiburi anakipata wapi? Huko mgodini nako kuna nmana fulani. Toa taarifa polisi ili sheria ichukue mkondo wake, na hiyo ndoa ipigwe chini. MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMAJE KUHUSU ZINAA KATIKA NDOA?
 
Duh mjadala umebadilika na kuwa wa wenye ndoa na wasio na ndoa?!!! Makubwa
Hata hivyo ninachiokiona hapa ni vitu viwili. Wapo wanaotetea kuwa mume asamehewe (Ingawaje mwenyewe hajaonyesha kutaka kusamehewa!) na wapo wanaosema asisamehewe (Japokuwa mwenyewe hajaomba msamaha!).
Kuna kina Pillu na Tuko ambao wanashutumu wasio na ndoa, napenda tu kuwakumbusha dada zangu kuwa sio wote walio na ndoa wana ndoa! Wengine wana mizigo ambayo WANATAMANI sana kuishusha ila tu hawana hizo guts kutokana na sababu mbalimbali, wanaishi kwenye ndoa ambazo maisha yao ni sawa na jehanam lakini hawana jinsi zaidi ya kuendelea kuishi hivyo wakimpendeza binadamu mwenzao.

Ninapata picha kuwa tunajisahau kuwa maisha (na viumbe vyake) ya sasa yamebadilika sana. Wanandoa wa kizazi hiki si wanandoa wa kizazi cha wazazi wetu (ambacho naamini kabisa ndicho wanachojaribu kukizungumzia kina dada Pillu hapa). Kizazi cha sasa kimejaa wanandoa wa dot.com. kuanzia mapenzi hadi majukumu.
Natamani kuamini kuwa Pillu na dada Tuko na wengineo ambao mmekuja na hoja ya wenye ndoa na wasio na ndoa, ni wale wanandoa wa enzi hizo, wanandoa ambao wanaelewa maana halisi ya ndoa kutokana na nyakati zao au la sivyo ni wanandoa walioolewa na wanaume wa enzi hizo (In a positive way tafadhali).

Wanaume ambao kwanza atafanya juu chini asikudhalilishe mkewe,
wanaume ambao hupenda heshima ianzie kwake nyumbani, asiyewezakuwaza kumtongoza mtogto wa kazi achilia mbali kubaka.
Wanaume waliopelekwa jandoni wakafundishika, ambao hata akiamua kucheat basi atacheat kwa makini sana na ikitokea amedakwa ni mwanaume ambaye yuko radhi kuyamalizia chumbani na mkewe kwa kukiri na kuomba msamaha.

Wanaume wa dot com ndio kama hawa, kwanza hajaona ugumu kula kwenye zero grazing!, pili kafumwa analeta ubabe wa kutaka kugawana mali yaani hajutii kabisa kosa na wala haonyeshi kukiri, haya huo msamaha mnaotaka huyu binti autoe anausamehe kwa kosa gani lililokiriwa??
Wanaume wa dot com kwa taarifa yenu hawajafundwa kulearn from their mistakes, bali wamefunzwa (from peers) kulearn from misamaha ambayo kwa bahati mbaya hawaichukulii kama misamaha bali huichukulia kama udhaifu wa mwanamke. Kwao ukimsamehe atasema umekubali yaishe kwa kuwa kwake umefika hupindui hugeuzi na hivyo kumpatia picha kuwa anawezafanya lolote usireact.

Tuko na Pillu mnalo somo zuri sana katika hili tukio ambalo tunatamani sana kujifunza lakini badala ya kusimamia kwenye debate ya wenye ndoa na wasio na ndoa ni vema mkatrupa hizo experience zenu za ni namna gani amsamehe (mtu ambaye hajaomba msamaha), aongee naye au anyamaze tu maisha yaendelee (itaeleweka kuwa amesamehe?) au kama anapaswa kuongea naye aongee naye nini?
Tupeni na upande wa pili wa shilingi kuwa mwanaume huyo afanyeje, maana ashakuja na kudai mke apige mahesabu ya mali walizochuma ndoa iishie hapo, je bado mnataka asamehewe kwa kosa ambalo mwenyewe hajaona kama amekosea??
- Katika situation klama hii, huyu binti inayesemekana amebakwa anaangukia wapi?

Ni mtazamo wangu tu, samahani kama kuna nlomkwaza but kusema ukweli nina mengi ninayoyatamani kuyajua kutoka kwenu, yatanisaidia sana kuidumisha hii ndoa yangu ya mkeka niliyoipata mkesha wa sikukuu.
 
Back
Top Bottom