fimbo ya mpera
Senior Member
- Oct 1, 2014
- 101
- 79
WAKUU,
Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa Taifa wanaharakati ambao wameweka mbele matumbo yao.
Wanaharakati mambo leo wamemrubuni mmoja kati ya walemavu wa viungo wa muda mrefu na kumpa kiasi fulani cha pesa na kumshawishi aende mbele ya timu hiyo kusema kuwa yeye amekuwa mlemavu kutokana na kuhamishwa kwake kutoka kijiji cha ololosokwani Loliondo huku nwakijua kabisa kuwa huo ni mchezo wa uongo.
Wahuni wengine waliojifungia nao ni madalali wa mifugo wanaouza mifugo yao nchi jirani lakini wanaifugia nchini Tanzania ambao kitendo cha Tanzania kushtuka nakuzuia eneo lao kugeuzwa zizi la kukuzia mifugo ya wanajumuiya kimewakera na sasa wanahaha kutaka kuleta taharuki kwa kudai kuwa wamenyang'anywa mifugo yao.
Hadi muda huu tangu watoe taarifa ya kufanyika kwa mkutano baina ya kamisheni hiyo na waandishi wa habari bado hakuna kilichofanyika huku yakiwa tayari masaa mawili yamepita tangu muda walioutangaza kuwa watazungumza na wanahabari.
Cha kushangaza sasa no kitendo chao cha kujifungia chumbani na kuruhusu taarifa yao ya wanahabari kuandaliwa na wanaharakati wetu mamboleo ambao kila leo wamekuwa wakiishi kutumia uchonganishi na ubabaifu.
Maswali tata
1. Nani yuko nyuma ya kamisheni hii?
2. Dhamira ya siri ya kamisheni hii ni ipi?
3. Kwanini hawajaruhusu watanzania wasikie kinachoongopwa na wahuni waliojifungia nao ndani?
4. Imekuwaje wanaharakati mamboleo wamejua kila kinachojadiliwa ndani huku mamlaka rasmi hazijahusishwa hata kidogo?
uzi zaidi unafuata