Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Pongezi nyingi sana kwake, namtakie utendaji mwema kwa kumtanguliza Mungu mbele.
 
Kulipaswa kuwa na aina fulani ya mawasiliano. Vinginevyo huku 'site' watu wanajionea ni vituko tu!
 
Kwani wewe siyo bavicha?

Maana kwa mujibu wa bavicha mbaya wao alishakufa na sasa wanapumua
Bavicha ndiyo kitu gani hicho! Mimi nimekuambia mbya wangu ni ccm! Hao Bavicha wako hawanihusu.
 
Vigogo Serikalini wanabadilishiwa tu namna ya kula hata kama wanavurunda..anatolewa hapa anapelekwa pale..anatenguliwa na huyu anateuliwa na yule..
Huu mfumo sijui utaisha lini yaani ni mfumo unakera sana.
Wanaendelea wao kwa wao tu majina yale yale wakati kuna vijana wenye nguvu wanahitaji nafasi
 
Tatizo lenu wapinzani mnajitoa ufahamu kabisa. Katiba pendekezwa ni zao la rasimu baada ya kujadiliwa na wabunge wa bunge la mabadiliko ya katiba. Kinachofanya hata mimi niikatae katiba pendekezwa ni kwamba ni ya ovyo mno yaani bora hii iliyopo ibaki. Na tukilazimisha sana tunaweza pata katiba mbovu kuliko hii iliyopo kwasababu bado idadi ya wabunge wa upinzani ni ndogo mno.
 
Takwa la katiba ni la Dola Sio matakwa ya mbowe wala samia!!

Bunge la katiba linapoteuliwa halitoingiza WABUNGE Hao WOTE wa CCM Bali wa kimkakati hasa waliopo nje ya Bunge hili!!

Vichwa vitaingia na Sio Hao watoto wa uchafuzi!!
 
Kuna mwanafalsafa aliwahi sema

"free things are never served with respect, learn to hustle"

Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Kweli nimeamini siroo alikuwa kachokwa haswa mm hata nilidhani kuwa atapelekea ujerumani kuwa balox kumbe kaenda kwa mnangwagwa
 
Natamani aanze na kuwaminya kengele za mwenyekiti wa chama cha kitapeli Mh. Mbowe, kamata weka ndani binyaaaaa akome kabisa
 
Hamna lolote kama lipi?

Hivi vijana mnajielewa kweli?

Siro karibu anafikia umri wa kusataafu, sasa kwenda kujilia hela huku katulia zake Zimbabwe ndio kupigwa za uso?
Jambazi kuwa mwanadiplomasia wapi na wapi babu, huwezi kuelewa ila pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…