nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Pongezi nyingi sana kwake, namtakie utendaji mwema kwa kumtanguliza Mungu mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulipaswa kuwa na aina fulani ya mawasiliano. Vinginevyo huku 'site' watu wanajionea ni vituko tu!Wengi hamjui katiba inavyotaka.
Vyeo vya ngazi ya URPC anayeteua ni IGP na si rais hivyo kuteuliwa kwa kingai kuwa RPC kigoma rais hajahusika rais akiingilia uteuajinwa RPC moja kwa moja anakuwa kavunja katiba.
Kamisheni kwa maofisa wengi wa jeshi la polisi wanapewa na Rais ila JWTZ ndio wanapewa na Rais.
Duh, na baridi hiii!Kumbe Mh.Rais huwa halali??
Kwani muda wake wa kustaafu ulikuwa bado haujafikia kweli?Ila Sirro angejua angetandika daruga mapema sio kutolewa kwa mlango wa nyuma. Yote kwa yote hongereni wateuliwa.
Bavicha ndiyo kitu gani hicho! Mimi nimekuambia mbya wangu ni ccm! Hao Bavicha wako hawanihusu.Kwani wewe siyo bavicha?
Maana kwa mujibu wa bavicha mbaya wao alishakufa na sasa wanapumua
Huu mfumo sijui utaisha lini yaani ni mfumo unakera sana.Vigogo Serikalini wanabadilishiwa tu namna ya kula hata kama wanavurunda..anatolewa hapa anapelekwa pale..anatenguliwa na huyu anateuliwa na yule..
Tatizo lenu wapinzani mnajitoa ufahamu kabisa. Katiba pendekezwa ni zao la rasimu baada ya kujadiliwa na wabunge wa bunge la mabadiliko ya katiba. Kinachofanya hata mimi niikatae katiba pendekezwa ni kwamba ni ya ovyo mno yaani bora hii iliyopo ibaki. Na tukilazimisha sana tunaweza pata katiba mbovu kuliko hii iliyopo kwasababu bado idadi ya wabunge wa upinzani ni ndogo mno.Ndio maana ya NENO irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya!!
Hata vinyonga wa kijani kama wewe na mimi wengi tunataka Rasimu irudi na sio ule utopolo wa Katiba pendekezwa iliyojaa matakwa ya mafisadi wale!!
Narudia tena
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!
Takwa la katiba ni la Dola Sio matakwa ya mbowe wala samia!!Tatizo lenu wapinzani mnajitoa ufahamu kabisa. Katiba pendekezwa ni zao la rasimu baada ya kujadiliwa na wabunge wa bunge la mabadiliko ya katiba. Kinachofanya hata mimi niikatae katiba pendekezwa ni kwamba ni ya ovyo mno yaani bora hii iliyopo ibaki. Na tukilazimisha sana tunaweza pata katiba mbovu kuliko hii iliyopo kwasababu bado idadi ya wabunge wa upinzani ni ndogo mno.
Acha mshahara, ubalozi ni mapumziko. kwa Sirro ni kama kastaafu lakini analipwa mshahara.Mshahara wa igp na balozi upi mkubwaa??
Kweli nimeamini siroo alikuwa kachokwa haswa mm hata nilidhani kuwa atapelekea ujerumani kuwa balox kumbe kaenda kwa mnangwagwaKuna mwanafalsafa aliwahi sema
"free things are never served with respect, learn to hustle"
Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Ndo huyu huyu aliyekamata mboga ya wana njombe Tani moja kule kigoma akasema ni dawa za kulevya.Kingai si uyu alikuwa rpc kigoma au mwingine
Roma yuko USA, au ule muziki ukajua kaenda kuishi Zimbabwe?Sirro karudishwa Zimbabwe, akaungane na Roma, Hii ndiyo Tanzania nchi yenye manabii
Huna akili ndio maana huwezi kujua unalialiaNimelia wapi na nimelilia nini?
Mimi siyo mwana saccos ila comment yako inaonesha wewe huna akili.Natamani aanze na kuwaminya kengele za mwenyekiti wa chama cha kitapeli Mh. Mbowe, kamata weka ndani binyaaaaa akome kabisa
Jambazi kuwa mwanadiplomasia wapi na wapi babu, huwezi kuelewa ila poleHamna lolote kama lipi?
Hivi vijana mnajielewa kweli?
Siro karibu anafikia umri wa kusataafu, sasa kwenda kujilia hela huku katulia zake Zimbabwe ndio kupigwa za uso?
Huyu 'mungu' sidhani kuwa ni yule 'Mungu' anayesemwa na wengi kuwa ndiye Mungu.Aliyepewa kapewa,ndio ivyo mungu kashamkadiria