MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hiyo sheria ya mabadiliko ya katiba itatungiwa ufipa au bungeni?We ndo punguza mihemko.
Hakuna wa kuzuia ujio wa KATIBA mpya muda umefika.
Hizo Sheria zitatungwa upya, idadi ya wabunge itakuwa sawa kulingana na makundi husika.
2026 ni mwaka wa kukamilika KATIBA mpya.
Mimi nashauri wapinzani wapambanie tume huru ya uchaguzi kwanza. Tume ikiwa huru watapata wabunge wengi hivyo kwa baadae itasaidia kupata katiba mpya. Tukilazimisha sasa hivi itakuwa haina maana.
Kwa mawazo yangu naona Mama kakosea sana kumpa Kigai u DCI naamini watu wengi wamechukizwa na hili, japo labda anavigezo vyake, ila naona hata swala la Muafaka na vyama pinzanani vitakua na kutokuaminiana, kama mama anang'ata na kupuliza.Nadhani ni Muda Muafaka wale wasiompenda Magu kuanza kuelewa siasa na propaganda ni nini hasa kwa hili la Kingai kupandishwa Cheo .
Bunge la wananchi litatunga, unaongelea wabunge 300 wa CCM, angalia nje ya Bunge wapo more than 50 mil.Hiyo sheria ya mabadiliko ya katiba itatungiwa ufipa au bungeni?
Wew una roho mbaya Sana mungu akusameheNatamani aanze na kuwaminya kengele za mwenyekiti wa chama cha kitapeli Mh. Mbowe, kamata weka ndani binyaaaaa akome kabisa
Minya hizo onion za Mbowe mpaka zitoke maji. Namchukia kwa sababu alishangilia kifo cha Dkt Magufuli na kila alishashabikia ni adui wa taifaMimi siyo mwana saccos ila comment yako inaonesha wewe huna akili.
binyaa hao wahuni wahuniWew una roho mbaya Sana mungu akusamehe
Wewe ni hopeless kabisa. Baki na akili zako za kipuuzi.Bunge la wananchi litatunga, unaongelea wabunge 300 wa CCM, angalia nje ya Bunge wapo more than 50 mil.
Da! unashangaa kama wengi wanavyoshangaa πHivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?
Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?
KATIBA mpya mchakato wake utakamilika 2026.Wewe ni hopeless kabisa. Baki na akili zako za kipuuzi.
Unaamini amestaafu? Hujaona aliestaafu Gen. Mabeyo si uliambiwa kbs kastaafu na kaagwa, huyo siro jeKwa umri wake Mimi naamini amestaafu,pia iliwahi kusemwa wakati wa awamu ya 5 aliongezewa muda tu.
Ila hata Kama ametumbuliwa bado anaenjoy Sana huyo, mshahara wa ubalozi siujui ila naamini Ni pesa nzuri
Ilibidi atoke kwanza Mabeyo ndio afuate Sirro baadae Diwani..... Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe