Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

We ndo punguza mihemko.

Hakuna wa kuzuia ujio wa KATIBA mpya muda umefika.

Hizo Sheria zitatungwa upya, idadi ya wabunge itakuwa sawa kulingana na makundi husika.

2026 ni mwaka wa kukamilika KATIBA mpya.
Hiyo sheria ya mabadiliko ya katiba itatungiwa ufipa au bungeni?
 
Mimi nashauri wapinzani wapambanie tume huru ya uchaguzi kwanza. Tume ikiwa huru watapata wabunge wengi hivyo kwa baadae itasaidia kupata katiba mpya. Tukilazimisha sasa hivi itakuwa haina maana.

Hata ikipita ya kuchakachuliwa sasa, machafuko yakitokea huko mbeleni itaandikwa yenye maoni halisi ya wananchi, sio hiyo ya majizi ya kura.
 
Nadhani ni Muda Muafaka wale wasiompenda Magu kuanza kuelewa siasa na propaganda ni nini hasa kwa hili la Kingai kupandishwa Cheo .
Kwa mawazo yangu naona Mama kakosea sana kumpa Kigai u DCI naamini watu wengi wamechukizwa na hili, japo labda anavigezo vyake, ila naona hata swala la Muafaka na vyama pinzanani vitakua na kutokuaminiana, kama mama anang'ata na kupuliza.
 
CCM ina laana,badala ya kuteua watu wenye weledi kama hawa, unateua Mapaka!🐒🐒🐒
 
hongera afande Wambura, hongera DCI Kingai, hongera afande Sirro kwa utumishi uliotukuka ndani ya jeshi la polisi.
 
Wewe ni hopeless kabisa. Baki na akili zako za kipuuzi.
KATIBA mpya mchakato wake utakamilika 2026.

Unaweza ona hata huo Uchaguzi unaouwaza 2025 hautakuwepo.

Na mgombea wako hatogombea. Who is hopeless kati yangu mm nawe?

Tusubiri. Amen
 
Kwa umri wake Mimi naamini amestaafu,pia iliwahi kusemwa wakati wa awamu ya 5 aliongezewa muda tu.

Ila hata Kama ametumbuliwa bado anaenjoy Sana huyo, mshahara wa ubalozi siujui ila naamini Ni pesa nzuri
Unaamini amestaafu? Hujaona aliestaafu Gen. Mabeyo si uliambiwa kbs kastaafu na kaagwa, huyo siro je
 
Huyu MHALIFU kamanda ziro, alipaswa kufilisiwa na kuwekwa kizuizini.
 
Wakati huku Tanzania akina Kingai walipandiswa cheo, huko Kenya ambako kuna Rais wa watu hali ni Tofauti.
 
Samahani kwa kutokuongeza IGP sababu hakumaliza mda wake kama ndungai na uspika.

Naumia sana unababu wa aina hizi mbili ukiulizwa babu yako mstaafu wa nini unashindwa kueleza alistaafu kama koplo au mbunge.

Mzee siro yupo wapi siku hizi mpaka sura yake imeanza kunitoka kichwani akiwa na magwanda ya kazi.
 
Back
Top Bottom