Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kingai kaulaa Naona IGP katoka kanda pendwa tena!

Soon tutasikia wakili Robert kidando yule alikua kiongozi wa jopo la mawakili wa serikali kwenye kesi ya mbowe nae kateuliwa kuwa jaji.
😀😀 msiichukie kanda. Mko mbali na mambo ya nchi hamuwezi kujua sababu za ndani ndani.
 
Siyo kweli mkuu..
IGP wote kabla ya Sirro hawakutokea huko unakoita Kanda Maalum:
1964-1970: Elangwa N.Shaidi
1970-1973: Hamza Azizi
1973-1975: Samwel H. Pundugu

1975-1980: Philemon N. Mgaya
1980-1984: Solomon Liani

1984-1996: Harun G Mahundi
1996-2006:
Omary Mahita
2006-2013: Saidi A Mwema
2014-2017: Ernest Mangu
2017-2022: Simon Sirro
2022--: Camillius Wambura
Nilifikiri umeweka na kanda kumbe majina tu. Ko kazi kwake atafute kanda
 
Wengi hamjui katiba inavyotaka.

Vyeo vya ngazi ya URPC anayeteua ni IGP na si rais hivyo kuteuliwa kwa kingai kuwa RPC kigoma rais hajahusika rais akiingilia uteuajinwa RPC moja kwa moja anakuwa kavunja katiba.

Kamisheni kwa maofisa wengi wa jeshi la polisi wanapewa na Rais ila JWTZ ndio wanapewa na Rais.

hakuna cheo cha URPC hayo ni madaraka.

cheo ni ACP kwenda juu mpaka CP anawezakuwa RPC.

cheo cha mwisho kupewa na IGP ni full INSPECTOR.kinachofuata hapo ni katibu mkuu utumishi na baraza la mambo ya ndani mwisho ACP.
hapo mamlaka ya IGP yanabaki katika kuwapangia kazi tu.sio kuwashusha na kuwapandisha.
SACP kwenda juu ni RAIS.
 
Yaani wewe Crimea hata protokali za vyeo serikalini huzijui. Mtu yeyote anaweza kuwa Balozi lakini siyo kila mtu anaweza kuwa IGP. Kwa ivo kutoka kwenye u-IGP mpaka ubalozi siyo sawa.
Kwa hiyo amekomeshwa?

Na kwasababu hiyo basi chadema itastawi sana?
 
Kwa hiyo amekomeshwa?

Na kwasababu hiyo basi chadema itastawi sana?
CHADEMA ilishastawi kitambo sana na ndiyo maana kila mwaka inaipa kihoro CCM. Kakomeshwa na nani sasa??

Haya mambo yanahitaji uyajue siyo kukurupuka nayo.
 
Sana aliwasurubu sana machadema bila huruma!
Na Kingai ndio huyo kaula., sijui ndio matokeo ya mazungumzo ya Mbowe na hangaya?

[emoji23][emoji23][emoji23]Sukuma gang imekomeshwa

Aliwasulubu CDM wasio na silaha, kisha kawashinda wenye silaha kwenye mpaka na Msumbiji, hiyo ni akili au matope?
 
Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?

Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?

Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Mnaweza kuwa mnaongea sana kumbe Mbowe ndo kampendekeza huko kwenye maridhiano baada ya kumwambia ajikanyage kwenye maelezo ya kesi.
 
Back
Top Bottom