Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
😀😀 msiichukie kanda. Mko mbali na mambo ya nchi hamuwezi kujua sababu za ndani ndani.Kingai kaulaa Naona IGP katoka kanda pendwa tena!
Soon tutasikia wakili Robert kidando yule alikua kiongozi wa jopo la mawakili wa serikali kwenye kesi ya mbowe nae kateuliwa kuwa jaji.